masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Kuwa raisi sio kujua kila kitu mkuu.!anajua vingi ambavyo ni vya muhimu.Wewe unadhani haya uliyayaandika hapa na Kuyaona Yeye hayajui au labda Wasaidizi wake Wakuu wa Jengo Tai / Kitengo hawajamwambia? Ukiona amekaa nalo Kimya Kwanza jua amegundua kuwa kuna makubwa hapo juu ya huo Udhaifu ambao umeusema hivyo anataka kwenda nalo taratibu ili lisije likaharibu zaidi badala ya Kujenga kama si Kuboresha pia. Jicho la Rais kama Taasisi ni Kubwa mno Mkuu na hakuna ambacho ama haambiwi au hakijui. Sana sana hili Bandiko lako litachochea tu Wasaidizi wake ( hao niliowataja hapo ) wamkumbushe na hatua za Kiumakini ambazo hazitoathiri Ustawi wa Wafanyakazi wengi wa Kitanzania waliopo hapo zichukuliwe.
Mkuu watu wanaendelea kufa kwa ajali za malori na TAZARA ipo tu inakula hasara.Wewe unadhani haya uliyayaandika hapa na Kuyaona Yeye hayajui au labda Wasaidizi wake Wakuu wa Jengo Tai / Kitengo hawajamwambia? Ukiona amekaa nalo Kimya Kwanza jua amegundua kuwa kuna makubwa hapo juu ya huo Udhaifu ambao umeusema hivyo anataka kwenda nalo taratibu ili lisije likaharibu zaidi badala ya Kujenga kama si Kuboresha pia. Jicho la Rais kama Taasisi ni Kubwa mno Mkuu na hakuna ambacho ama haambiwi au hakijui. Sana sana hili Bandiko lako litachochea tu Wasaidizi wake ( hao niliowataja hapo ) wamkumbushe na hatua za Kiumakini ambazo hazitoathiri Ustawi wa Wafanyakazi wengi wa Kitanzania waliopo hapo zichukuliwe.m
Mkuu ni muhimu kuitumia rasilmali ya TAZARA kikamilifu.Maso pakyindi. Kulonda abhakamugho abha kumbeya wakabhe ikyuma. Hongera Sana kwa wazo zuri
Sasa wewe unataka madreva wetu wafe njaa?Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.
Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.
Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.
Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Kweli ww unafanana na jina lako kwa hiyo unataka malori yetu tuyaingize kwenye mwendokasi au madereva waje kula nyumbani kwako na familia zao, Acha Kiki za kijinga ww huko US na EU Lori bado linategemewa itakuwa huku kwetu shithole countriesReli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.
Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.
Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.
Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Muundo was TZR umekaa kisiasa mno. General Manager lazima awe Mzambia. Walifanya hivyo ili ku balance kwamba HQ ipo Tanzania.Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.
Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.
Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.
Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.
Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.
Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.
Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.
Umeongea vizuri ila Tazara haina mabehewa ya kutosha kubeba mzigo mkubwa hivyo utasababisha mizigo ya watu kuchelewa zaidi ya miezi 6.Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.