masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,803
- 13,034
Reli ya TAZARA ilitazamiwa kuwa mkombozi wa usafiri abiria na mizigo nyanda za juu kusini.
Utendaji wa TAZARA umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu sana sasa.
Usafiri wa treni hii ni on andboff kwa sababu mbali mbali za kiutendaji.
Mto wa Morogoro utuamshe kwenyebusingizi wa pono.
Naomba Mh John Pombe Magufuli atoe tamko tu, mizigo yote iendayo Malawi, Zambia,Congo na nyanda za Juu Kusini, wenyewe waichukue mizigo hiyo Depot za TAZARA aidha Makambako au Mbeya.
Kitendo hiki si tu kitaokoa barabara zetu na uharibifu bali hata kupunguza kabisa ajali kama ile iliyoua watu karibia 75 Morogoro.
Mh Magufuli, maamuzi magumu tafadhali.