Rais Magufuli, Tanzania sio Dar pekee!

Rais Magufuli, Tanzania sio Dar pekee!

Pale mtu anapojitahudi tupongeze pia. Mbona wengine wamekaa miaka kumi hamna la maana, sembuse huy wa siku 20.
 
Ibilisi ni kiumbe kibaya so sitaki kuchangia post yako utataka urafiki ili unipoteze
 
mijitu ya dar ni miCHAWI!!!! ona post zao.
 
Wakuu salam!!!...

Ni takribani siku ya 26 sasa tangu Rais mpya kuapishwa Dr John Magufuli.

Pamoja na spidi na mikakati yote, bado naona anaipendelea Dar pekee.
Ziara yake ya pili alikwenda Hospitali ya taifa muhimbili.
Baada ya kuzindua bunge pale dodoma, Rais Magufuli alipendekeza pesa za sherehe za bungee zielekezwee Muhimbili kununua vitanda.
Rais bado anadhani matatizo yapo Dar peke yake, hakujua pia dodoma ambazo pesa hizo zilipatikana eneo hilo hakuna hospitali yenye matatizo kama muhimbili.

Hiyo haitoshi, Jana kapendekeza fedha za sherehe za Uhuru zipelekwe kupanua barabara ya mwenge zaidi ya sh. 4 billion ili kupunguza msongamano. Rais bado hajajua tatizo la Dar kuwa na folen ni ofisi nyingi za serikali kujaa posta na shughuli za biashara kuwa K.koo na posta.

Sisi kama wananchi kila jambo tunashangilia pasipo kutatua matatizo yanao tukabili.

Rais anapaswa kutambua kuwa Tanzania ina mikoa zaidi ya 30, mikoa yote hii inataka kuona inanufaika na nchi hii na sio kila kitu ni Dar.

Fedha za uhuru ni bora zingeelekezwa kwenye shule za msingi ambazo zinamatatizo ya vyoo nchi nzima.

Tunataka kasi yake ya utendaji ije pia mikoani ambapo huku ndipo uonzo mwingi.

Pia ni bora kila wizara kusambazwa mikoani ili kupunguza msongamano, na kukuza miji mingine kibiasharaa.

Rais tunakuomba utambuee kuwa hata sisi wa mikoani ni watanzania tunastahili haki kma Dar, umekuja dodoma hukutembeleaa taasisi zako hata moja, hata kama ni kwa unafki lkn ungetembelea tu.

Salaam!!!

Hujui km dar ndo kitovu cha uchumi wa nchi? na hujui km mikoa mingine pia inaendeshwa kwa mapato yanayopatikana dar? so lazima kwanza aanzie hapa then ndo aanze kuja huko. so plz just be patient
 
Dar ni jiji muhimu Sana. Kulipoteza kwa upinzani ni pigo kubwa na ni timing bomb. Dar ndio commercial capital ya nchi, Dar ndio ilipo international community. Wakazi wa Dar wakiamua liwalo liwe, serikali ya ccm itabidi ikimbie. Kwahiyo kwa ccm Kuna umuhimu wa kurejesha imani ya wananchi kwa chama na hicho ndicho kinachofanyika sasa. Tayari ni kampeni za uchaguzi ujao wa serikali za mitaa (2019) na uchaguzi mkuu (2020).
 
JPM ni mwana mabadiliko, na anatambua wana mabadiliko wengi hawakumpa kura. Hivyo anaanza kuwafurahisha wana ukawa kwanza ili 2020 apite bila figisu. Mikoa mlio chagua ccm mtaanza kufurahishwa kuanzia 2017 mkwere atakapoliacha chama. Ndio maana alikuja dodoma mkatoka patupu. Endeleeni kuisoma namba.
 
Hata mimi ninashangaa kuona mheshimia anaangalia hospitali moja tu, kwani kama angekuwa amechagua kuanza na afya basi angekomaa na katibu mkuu wa wizara ya afya kusimamia hospitali na zahanati zote nchini.
 
Dar ndo pachafuest kuliko kote,xo lazima aanze na apa
 
Wakuu salam!!!...

Ni takribani siku ya 26 sasa tangu Rais mpya kuapishwa Dr John Magufuli.

Pamoja na spidi na mikakati yote, bado naona anaipendelea Dar pekee.
Ziara yake ya pili alikwenda Hospitali ya taifa muhimbili.
Baada ya kuzindua bunge pale dodoma, Rais Magufuli alipendekeza pesa za sherehe za bungee zielekezwee Muhimbili kununua vitanda.
Rais bado anadhani matatizo yapo Dar peke yake, hakujua pia dodoma ambazo pesa hizo zilipatikana eneo hilo hakuna hospitali yenye matatizo kama muhimbili.

Hiyo haitoshi, Jana kapendekeza fedha za sherehe za Uhuru zipelekwe kupanua barabara ya mwenge zaidi ya sh. 4 billion ili kupunguza msongamano. Rais bado hajajua tatizo la Dar kuwa na folen ni ofisi nyingi za serikali kujaa posta na shughuli za biashara kuwa K.koo na posta.

Sisi kama wananchi kila jambo tunashangilia pasipo kutatua matatizo yanao tukabili.

Rais anapaswa kutambua kuwa Tanzania ina mikoa zaidi ya 30, mikoa yote hii inataka kuona inanufaika na nchi hii na sio kila kitu ni Dar.

Fedha za uhuru ni bora zingeelekezwa kwenye shule za msingi ambazo zinamatatizo ya vyoo nchi nzima.

Tunataka kasi yake ya utendaji ije pia mikoani ambapo huku ndipo uonzo mwingi.

Pia ni bora kila wizara kusambazwa mikoani ili kupunguza msongamano, na kukuza miji mingine kibiasharaa.

Rais tunakuomba utambuee kuwa hata sisi wa mikoani ni watanzania tunastahili haki kma Dar, umekuja dodoma hukutembeleaa taasisi zako hata moja, hata kama ni kwa unafki lkn ungetembelea tu.

Salaam!!!
hebu kwanza kabadili hilo jina ndo urudi
 
Kuna Mikoa itakuwa imelaaniwa kwa kweli. Karne hii kweli wanategemea Mhe. Rais awajengee vyoo ili watoto wenu wapate kujisaodia??? Wonders will never end.... Ibilisi unatoka mkoa gani?? Huko hakuna RC, DC, Mbunge wala wafanyabiashara mkafanya fund raising ya kujenga vyoo vya wanafunzi??? Unajua hata tatizo la madawati sio la Serikali. Ni viongozi kutokuwa wabunifu ktk kubuni miradi ili iingize kipato kwa matumizi madogo madogo na sio kutegemea Hazina. Hizo Halmashauri zinafanya nini jamani?????

Mwisho mkoa wako unachangia shs ngapi kwenye pato la Taifa???

Queen Esther
Ninyi ndiyo wajinga wajinga, unaambiwa utalii ndiyo unaongoza kuchangia pato la Taifa. Sasa Dar es Salaam kuna utalii upi?
Pia kilimo, je kwanini hizo pesa zisisaidie haraka wakulima ukizingatia msimu wa kilimo na mvua hizi.
Kingine, pesa zichangishwe Dodoma kisha zikafanye kazi Dar ni akili hiyo kweli.
Acheni kuifanya Tanzania ni Dar es Salaam. Ukizingatia waliyompa kura nyingi huyo Magufuli ni hawa mnaowaita wa porini!
Bila kutawanya Wizara mikoa mbali mbali ya nchi,hapo mnafanya mchezo tu.
 
Wakuu salam!!!...

Ni takribani siku ya 26 sasa tangu Rais mpya kuapishwa Dr John Magufuli.

Pamoja na spidi na mikakati yote, bado naona anaipendelea Dar pekee.
Ziara yake ya pili alikwenda Hospitali ya taifa muhimbili.
Baada ya kuzindua bunge pale dodoma, Rais Magufuli alipendekeza pesa za sherehe za bungee zielekezwee Muhimbili kununua vitanda.
Rais bado anadhani matatizo yapo Dar peke yake, hakujua pia dodoma ambazo pesa hizo zilipatikana eneo hilo hakuna hospitali yenye matatizo kama muhimbili.

Hiyo haitoshi, Jana kapendekeza fedha za sherehe za Uhuru zipelekwe kupanua barabara ya mwenge zaidi ya sh. 4 billion ili kupunguza msongamano. Rais bado hajajua tatizo la Dar kuwa na folen ni ofisi nyingi za serikali kujaa posta na shughuli za biashara kuwa K.koo na posta.

Sisi kama wananchi kila jambo tunashangilia pasipo kutatua matatizo yanao tukabili.

Rais anapaswa kutambua kuwa Tanzania ina mikoa zaidi ya 30, mikoa yote hii inataka kuona inanufaika na nchi hii na sio kila kitu ni Dar.

Fedha za uhuru ni bora zingeelekezwa kwenye shule za msingi ambazo zinamatatizo ya vyoo nchi nzima.

Tunataka kasi yake ya utendaji ije pia mikoani ambapo huku ndipo uonzo mwingi.

Pia ni bora kila wizara kusambazwa mikoani ili kupunguza msongamano, na kukuza miji mingine kibiasharaa.

Rais tunakuomba utambuee kuwa hata sisi wa mikoani ni watanzania tunastahili haki kma Dar, umekuja dodoma hukutembeleaa taasisi zako hata moja, hata kama ni kwa unafki lkn ungetembelea tu.

Salaam!!!
Wajameni watanzania, bado tupo kwenye 'SEMINA ELEKEZI' ambayo inabidi ianzie Dar, Sodoma na Gomorah ya Bongo, baadaye tutawafikia wote, msijali!
Nje ya hapo naomba umpe MJOMBA WA TAIFA hizi 'script' zako azifanyie kazi!
 
Back
Top Bottom