Rais Magufuli tafadhali ibinafsishe TANESCO

Nshonzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
3,057
Reaction score
1,882
Ni kilo cha kila siku kwa mamilioni ya wa Tanzania juu ya utendaji usiyo kidhi kutupatia huduma ya umeme lkn bado serikali imelifumbia macho kama vile hakuna kinacho endelea.Sasa tunakuomba binafsisha hao wapiga dili wa Tanesco mgao wa umeme hauishi kila siku hadi watu tunaibiwa mali zetu kisa giza mitaani!
 
kuna maeneo wamelipia kuunganishiwa umeme takribani mwaka na miezi hamna kinachoendelea, hizi si dharau kabisa
 
Ni kilo cha kila siku kwa mamilioni ya wa Tanzania juu ya utendaji usiyo kidhi kutupatia huduma ya umeme lkn bado serikali imelifumbia macho kama vile hakuna kinacho endelea.Sasa tunakuomba binafsisha hao wapiga dili wa Tanesco mgao wa umeme hauishi kila siku hadi watu tunaibiwa mali zetu kisa giza mitaani!

Akibinafsisha uchumi utashuka kwa sababu umeme utapanda bei. TANESCO inabidi ibaki serkalini ku-control bei. Inaendeshwa kwa hasara na kupokea ruzuku kutoka serikalini
 
Kuibinafsisha TANESCO itakuwa ni janga kubwa la Taifa. Mataifa mengine duniani yamejaribu hili na matokeo yake yalikuwa ni majanga makubwa sana kwa Mataifa hayo.

Ni kilo cha kila siku kwa mamilioni ya wa Tanzania juu ya utendaji usiyo kidhi kutupatia huduma ya umeme lkn bado serikali imelifumbia macho kama vile hakuna kinacho endelea.Sasa tunakuomba binafsisha hao wapiga dili wa Tanesco mgao wa umeme hauishi kila siku hadi watu tunaibiwa mali zetu kisa giza mitaani!
 
Tatizo wanalazimisha mambo ambayo uwezo ni mdogo , Tanesco hawazalishi umeme, ila wananunua kwa makampuni binafsi ila wao ndio wanaosambaza umeme nchini , sasa nimesikia bei ya unit 1 mteja analimpia 300/= ila wao pia wananunu 575+/= sasa kama ni kweli nafikir biashara wanaendesha kwa hasara
 
Kuibinafsisha TANESCO itakuwa ni janga kubwa la Taifa. Mataifa mengine duniani yamejaribu hili na matokeo yake yalikuwa ni majanga makubwa sana kwa Mataifa hayo.
Sasa tufanyeje au ndio tukubali kuanza kutumia vibatari?
 
Tatizo wanalazimisha mambo ambayo uwezo ni mdogo , Tanesco hawazalishi umeme, ila wananunua kwa makampuni binafsi ila wao ndio wanaosambaza umeme nchini , sasa nimesikia bei ya unit 1 mteja analimpia 300/= ila wao pia wananunu 575+/= sasa kama ni kweli nafikir biashara wanaendesha kwa hasara
Haya yatakuwa ni zaidi ya majanga makubwa sana
 
Back
Top Bottom