Rais Magufuli: Si haki Mkuu wa Wilaya kumweka mtu ndani bila kumfikisha Mahakamani

mfalme ni mfalme tu! ukiwa mbele yake usijfanye unapendeza kuliko yeye!
 
Rais anakosea kutangaza hadharan baadhi ya mambo
Mf. Kusema Kuwa DPP nae alipendekezwa Kuwa Jaji lakin nikapiga chini jina lake ni kosa kimaadili!

Mamlaka Za kumsaidia Rais zijitahidi kumsisitiza Rais Kuwa sio Kila Taarifa ni for public consumption!

Nahofia wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao Mikakati mingi ya Uchaguzi na Uteuzi huenda akawa anaisema

Ajifunze kwa Watangulizi wake yaliyojiri wakati wa Utawala wao nayo ni Mengi lakin Wana Vifua vipana Sana vya kuhifadhi Siri
Kweli! Sio kila jambo ni la kuweka hadharani maana ni rahisi kuzusha sintofahamu huku uraiani
 
Wangesema viongozi wote kwa ujumla na siyo wakuu wa wilaya pekee though hao ndiyo wanaoongoza kwa kuweka watu ndani!
Vipi kuhusu wakuu wa mikoa maRCs wenyewe ruksa au?
Maana nao wengine walianzia uDC baadae wakateuliwa uRC!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*OLD MAGUFULI*
2016-Nimewateua kuwa wakuu wa wilaya, endeni mkachape kazi. Mnayo mamlaka makubwa ya kuweka watu ndani, nendeni mkawaweke ndani il nchi inyooke.

*NEW MAGUFULI*
2019-Wakuu wa wilaya mnatumia madaraka yenu vibaya, si haki mtu kuwekwa ndani masaa 24 kisha kuachiwa bila kufikishwa mahakamani eti kwa kuwekwa ndani amejifunza.!!
Funny boy from Chattle!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu mwakani ni uchaguzi lazima kulinda mkate wako rudia maneno mbunge bwenge wa kusini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais anakosea kutangaza hadharan baadhi ya mambo
Mf. Kusema Kuwa DPP nae alipendekezwa Kuwa Jaji lakin nikapiga chini jina lake ni kosa kimaadili!

Mamlaka Za kumsaidia Rais zijitahidi kumsisitiza Rais Kuwa sio Kila Taarifa ni for public consumption!

Nahofia wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao Mikakati mingi ya Uchaguzi na Uteuzi huenda akawa anaisema

Ajifunze kwa Watangulizi wake yaliyojiri wakati wa Utawala wao nayo ni Mengi lakin Wana Vifua vipana Sana vya kuhifadhi Siri
Mi ni msema kweli kabisa kwa mara ya kwanza baada ya kukata tamaa jana nimejikuta namuonea huruma sana Jpm kwa kauli ile maana aliongea kwa masikitiko makubwa sana akiendelea japo kuzungumza kauli zinazolishona taifa ambalo lilishaanza kuchanikachanika nitakuwa na matumain mapya na raisi wangu
 
Inawezekana, kumbe wanapojua hatuna cha kuwafanya wanatutesa, uchaguzi ukikaribia kwa vile wanajua vichinjio viko mikononi mwetu wanajifanya wanyenyekevu na wanaojali utu!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliko hauwez kuona bodaboda anasumbuliwa, avae kofia asivae, wanabeba mshikaki, yaan nikama wanaendesha baiskeli na askali amepigwa marufu kuwagusa bodaboda!
 
*OLD MAGUFULI*
2016-Nimewateua kuwa wakuu wa wilaya, endeni mkachape kazi. Mnayo mamlaka makubwa ya kuweka watu ndani, nendeni mkawaweke ndani il nchi inyooke.

*NEW MAGUFULI*
2019-Wakuu wa wilaya mnatumia madaraka yenu vibaya, si haki mtu kuwekwa ndani masaa 24 kisha kuachiwa bila kufikishwa mahakamani eti kwa kuwekwa ndani amejifunza.!!
Funny boy from Chattle!

Sent using Jamii Forums mobile app
aisee jamaa ni bingwa wa kujipindua pindua pinduaa.

wapo waliotetea ile kauli yake ya mwanzo,sasa wanauchungulia tuu huu uzi kama vipofu vilee.
 
*OLD MAGUFULI*
2016-Nimewateua kuwa wakuu wa wilaya, endeni mkachape kazi. Mnayo mamlaka makubwa ya kuweka watu ndani, nendeni mkawaweke ndani il nchi inyooke.

*NEW MAGUFULI*
2019-Wakuu wa wilaya mnatumia madaraka yenu vibaya, si haki mtu kuwekwa ndani masaa 24 kisha kuachiwa bila kufikishwa mahakamani eti kwa kuwekwa ndani amejifunza.!!
Funny boy from Chattle!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuamini inakula kwako. Mkurugenzi wa hifadhi ya mfuko wa jamii na hata J. Muhagama anayo reference kuhusu kikokotoo!
 
Back
Top Bottom