MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,363
Katika awamu hii ya Tano mambo mengi tusiyoyazoea yamefanyika ktk Serikali ukilinganisha na awamu zilizopita.
Tumeona ziara za kushitukiza maeneo nyeti,utumbuaji wa majibu kwa viongozi,safari za Nje kusimamishwa kwa viongozi bila kibali toka ikulu n.k
Tuomeona siri za ndani za Serikali kuanza kuvuja kwa wahusika au Hata sio wahusika mapema sana na Hata kingine zisizostahili kutolewa Nje Sasa zinatolewa tu.
Mfano huyu Dada Mange Kimambi amekuwa akitoa taarifa za ndani za Serikali zile nyeti ambazo sidhani kama amelala ameota tu ila lazima Kuna watu wa Karibu na Rais wanaotoa hizo taarifa na huyu dada anazitangaza kwa umma.
Sasa ktk Serikali yoyote ile Kuna mambo ya kuwaambia umma na Kuna mambo ni ya kiofisi tu hata umma wakifahamu sio shida lakini Kuna mengine ni ya Ofisi tu na tena ni SIRI na hairusiwi kutoka Nje kwa njia yoyote.
Sasa watumishi wasio waaminifu wamekuwa wakizitoa hizo taarifa za SIRI kitu ambazo ni hakiruhusiwi kabisa na hao ndiyo wasaliti au waasi
Mh Rais adhabu yao hao wakikamatwa ni 'kifo kimya kimya' tu hakuna jinsi.