Rais Magufuli Serikali yako ina baadhi ya watumishi ni wasaliti/waasi wa viapo vyao vya kiutumishi

Umejuaje siyo wenyewe wameitoa kwa maslahi yao! Je,huo muhuri wa "SIRI" ni official kiasi gani? Naweza kuchonga kokote,nikagongea!
Then ukichonga na ukagonga ktk doc ya Serikali so what?? Kama siyo document ya Siri siyo tu!
 
Mazoea yaliyokuepo awamu liyopita ndo uozo wa haya mambo bado watu wanatumia huyo mwanya kuuza hizo siri za serikali, itachukua muda kuwaondoa hao wasaliti
Nakumbuka Kuna siku mmoja huyo mdada wa USA alikuwa ana request atumiwe taarifa kutoka ktk faili la mmoja wa viongozi kutoka Ofisi za uhamiaji.

Sasa kama amefikia hatua hiyo ya kuandika hadharani kuomba taarifa zilizopo ktk Ofisi za umma ambazo zingine huwa zinatoka kwa vibali maalumu kwa sababu maalumu kwa watu maalumu pia!
 
Katika awamu hii ya Tano mambo mengi tusiyoyazoea yamefanyika ktk Serikali ukilinganisha na awamu zilizopita.

Tumeona ziara za kushitukiza maeneo nyeti,utumbuaji wa majibu kwa viongozi,safari za Nje kusimamishwa kwa viongozi bila kibali toka ikulu n.k

Tuomeona siri za ndani za Serikali kuanza kuvuja kwa wahusika au Hata sio wahusika mapema sana na Hata kingine zisizostahili kutolewa Nje Sasa zinatolewa tu.

Mfano huyu Dada Mange Kimambi amekuwa akitoa taarifa za ndani za Serikali zile nyeti ambazo sidhani kama amelala ameota tu ila lazima Kuna watu wa Karibu na Rais wanaotoa hizo taarifa na huyu dada anazitangaza kwa umma.

Sasa ktk Serikali yoyote ile Kuna mambo ya kuwaambia umma na Kuna mambo ni ya kiofisi tu hata umma wakifahamu sio shida lakini Kuna mengine ni ya Ofisi tu na tena ni SIRI na hairusiwi kutoka Nje kwa njia yoyote.

Sasa watumishi wasio waaminifu wamekuwa wakizitoa hizo taarifa za SIRI kitu ambazo ni hakiruhusiwi kabisa na hao ndiyo wasaliti au waasi

Mh Rais adhabu yao hao wakikamatwa ni 'kifo kimya kimya' tu hakuna jinsi.
yeye mwenyewe mbona ni msaliti kwa wadanganyika:eek::eek::eek:
 
Moja ya nukuu za kwanini taarifa zina leak

Doto na Robert "mapoti" wa mkulu na operesheni yao ya kidhalimu ya kumdhuru kila anayemkosoa mkulu hasa mtandaoni ( na wapo behind ya mkakati wa "kuleta malaika kufunga social media" kutoka South Korea). Tatizo ni kwamba waendeleza ukabila tu. Na tatizo kubwa zaidi hawajui kutunza siri: zina-leak na kutufikia hadi sie wa ughaibuni. Wanasema "mchawi mpe mtoto amlee." Nimemwonya mmoja wao kuwa ninafahamu wanachopanga, na nina nyaraka kuhusu mpango wao wa kutuma watu huku [Tanzania yetu sasa ina wazalendo wa dhati wanaomudu kuhatarisha ajira na uhai wao, na kutushtua hata "akina sie." Mungu awabariki sana]. Naskia wameanza kutisha watu. Hawa nawamudu, na ninao mpaka dakika ya mwisho.
“I’ve already been 'a dead man walking' in the past...and if you’ve already been dead, you don’t fear it as much.”

Anyway, kabla sijawatakia wikiendi njema, ngoja niwapatie kitu kimoja muhimu "kukuweka hai." Kuna kitu kinaitwa SURVEILLANCE (yaani sanaa ya ufuatiliaji), na miongoni mwa kanuni muhimu ni kwamba "lazima wanaokufuatilia wafahamu kuhusu maisha yako; mienendo yako, usafiri wako, sehemu "unazopatikana," nk. Kamwe usiweke maisha yako binafsi hadharani, unless unataka kudhurika kirahisi. So, nakuachia maandiko matatu yanayoweza kukusaidia siku flani "ukifuatiliwa." Sie wengine tupo hai kwa mapenzi ya Mungu lakini pia kwa kutambua+kuheshimu nyenzo kama hizi za kukabiliana na watu wanaokufuatilia kwa minajili ya kukudhuru.

Chapisho la kwanza linahusu mbinu iliyopendelewa sana na KGB kukabiliana na surveillance, inaitwa CLEANING RUN [Chapisho hili sio la kitaaluma as such lakini llina madini muhimu na limeandikwa kwa kugha nyepesi kueleweka], lipakue hapa EVARIST CHAHALI has shared a file with you - Acrobat.com

Chapisho la pili linahusu SURVEILLANCE na COUNTER SURVEILLANCE maalum kwa watetezi wa haki za binadamu au makundi yanayojihusisha na jukumu hilo. Lipakue hapa
EVARIST CHAHALI has shared a file with you - Acrobat.com

Na chapisho la tatu pia linahusu SURVEILLANCE na COUNTER SURVEILLANCE kutoka moja ya taasisi moja maarufu binafsi ya masuala ya usalama. Lipakue hapa EVARIST CHAHALI has shared a file with you - Acrobat.com

Enjoy your weekend
 
Sasa kama unajua hatuhusiki unatuandikia ili iweje?
Wapo linaowahusu,wewe kama halikuhusu achana.Hata Mimi Kuna mambo mengine ndani ya JF hayanihusu wala Hata Ku attempt sithubutu.
 
Katika awamu hii ya Tano mambo mengi tusiyoyazoea yamefanyika ktk Serikali ukilinganisha na awamu zilizopita.

Tumeona ziara za kushitukiza maeneo nyeti,utumbuaji wa majibu kwa viongozi,safari za Nje kusimamishwa kwa viongozi bila kibali toka ikulu n.k

Tuomeona siri za ndani za Serikali kuanza kuvuja kwa wahusika au Hata sio wahusika mapema sana na Hata kingine zisizostahili kutolewa Nje Sasa zinatolewa tu.

Mfano huyu Dada Mange Kimambi amekuwa akitoa taarifa za ndani za Serikali zile nyeti ambazo sidhani kama amelala ameota tu ila lazima Kuna watu wa Karibu na Rais wanaotoa hizo taarifa na huyu dada anazitangaza kwa umma.

Sasa ktk Serikali yoyote ile Kuna mambo ya kuwaambia umma na Kuna mambo ni ya kiofisi tu hata umma wakifahamu sio shida lakini Kuna mengine ni ya Ofisi tu na tena ni SIRI na hairusiwi kutoka Nje kwa njia yoyote.

Sasa watumishi wasio waaminifu wamekuwa wakizitoa hizo taarifa za SIRI kitu ambazo ni hakiruhusiwi kabisa na hao ndiyo wasaliti au waasi

Mh Rais adhabu yao hao wakikamatwa ni 'kifo kimya kimya' tu hakuna jinsi.

ukiona hivyo ujue uongozi ndio mbovu
 
Endeleeni kuuwa tu wafungeni watu kwenye visandarausi na kuwa tupate mto Ruvu wauweni kama mulivyomuuwa Ben nanyi mutakuwa vivyo kimya kimya hadi makaburinu yenu yasijulikane maana mumetangaza vita na wananchi
 
Awafukuze wote kazi wa kitengo/ofisi husika kwa kutoa habari za siri, nafikiri wakipewa,siku moja mbili watatajana wenyewe wasipotajana wote waondolewe, wengine wafike kupata kazi zao.

Ila kama ICT na upelelezi nchini wapo vizuri watadaka tu kiurahisi

Serikali inahitaji hackers pia, watu wanatumia mitandao vibaya sanaaaa esp kuandika viongozi vibaya na kuwatukana.
Munachekesha kweli Magufuli makonda lemutuz munatukana watu matusi ya nguoni munadharilisha watu hata huyo Mange mumemtukana sana kibao kikiwageukia hamtaki
 
Nakuunga mkono mkuu. Kukaa na watu ambao wana collude na watu ili ushindwe, hawa ukishawabaini dawa ni moja tu kuwatia kiberiti ili waruke na kukanyagana
Wao watakuangalua tu au nao watawapa kiberiti ili kila mmoja aone moto
 
Endeleeni kuuwa tu wafungeni watu kwenye visandarausi na kuwa tupate mto Ruvu wauweni kama mulivyomuuwa Ben nanyi mutakuwa vivyo kimya kimya hadi makaburinu yenu yasijulikane maana mumetangaza vita na wananchi
Muasi au msaliti ndani ya Serikali adhabu yake ni 'kifo' tu hakuna excuse!!
 
ukiona hivyo ujue uongozi ndio mbovu
Hakuna kiongozi mbovu ila kuna watumishi au viongozi wanaokiuka viapo vyao vya kiutumishi kwa malengo na madhumuni wanayoyajua wao.

Na hao ndiyo wakipatikana adhabu yao ni kuwapoteza kabisa au kuwadhifadhi machimbo mpaka fore brain na limbic system zistop kufanya kazi.
 
Unajulikana wewe ni yule anayeendesha mishe ni ya kufunga watu kwenye visandarusi unaota siri kwa vile umeehuka
 
Back
Top Bottom