Rais Magufuli: Nitahamia Dodoma mwaka huu, 2018


Jiwe ni Muongo kama waongo wengine, na Ametudanganya mengi! Sina Imani naye tena kabisa!
 
wewe mamako ulienda kumuona lini kijijini kwenu...
fanya kama unajikuna... afu sema ukonaye[emoji12] [emoji196]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye daktari.
wapambe wake vichwa maji naaamini huyu jamaa anajitia kila course kasoma wakati chuo kapita mlango wa uwani......inawezekana mpaka dawa anaqapangia yeye

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
...pipo yuzi tu dai... in.. in... ineeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] View attachment pipo yuz tu dai.mp4View attachment sitatoa hela za katiba.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Note this ---Hakuna kiumbe Muongo kama jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hao waliohamia Dodoma misele ya Dar kila weekend haikauki. Afanye mpango ahamie huko haraka ndani ya hii 2019
 
Huyu ndiye raisi wa ahadi na utashangaa ataenda Dodoma na ndoto ya mwalimu nyerere itatimia.
Mwalimu hakuwa na ndoto ya kuhamia Dodoma na hata wazo la kuhamia Dodoma hakulitoa yeye. Tafuteni Historia sahihi ya nchi hii mtaelewa ukweli ulivyo.

Kama kuhamia Dodomna ndiyo ingekuwa ndoto ya Mwalimu angekuha ameshahamia zamani sana kabla hata ya vita ya Kagera kutokea.
 
kinachomweka mpk leo ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…