Rais Magufuli ni shujaa wangu

Rais Magufuli ni shujaa wangu

Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo
Nafurahi sana naposikia wale viongozi wa kuteuliwa si watumishi wa umma,mngetuambia tu kwamba ni watumishi wa nani ili tuwajue,maana nakumbuka kuna mtu aliwahi kumwambia mama mmoja pale kinondoni kwamba yeye ni miongoni mwa vichaa wanao hangaika nao
 
Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo
"Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu" hapa Tanzania kiongozi ni yupi, mtumishi wa umma mwenye profession au mwanasiasa anayejua kusoma na kuandika tu? Andiko lako lingekuwa na maana kama na wanasiasa pia wangekaguliwa vyeti. Maana hao ndiyo wanaopanga program za maendeleo, lakini pia nao ni mambumbumbu tu. Acha unafiki ndugu yangu.
 
Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo
vipi wanasiasa mbumbmbu kama bashite?
 
Teh teh teh teh
Ushapiga hela hapo mkuu. Mnatumia jina la Mungu kuficha maovu yenu. Kwan shetan naye huwa anajiita shetan anapodanganya watu? Huja kwa jina la Mungu sbb anapendwa na wengi. Pole sana na dikiteta uchwara wako
Mbona povuuu broh!...acha waisome namba eeeh!..Go Go Go Go Magufuli, you have my vote 2020....sioni mwingine wa kuiongoza nchi zaidi ya JPM
 
Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo

Shujaa wa Lowasa ni Mama Regina. Ok! Mama Regina hujambo?
 
Teh teh teh teh
Ushapiga hela hapo mkuu. Mnatumia jina la Mungu kuficha maovu yenu. Kwan shetan naye huwa anajiita shetan anapodanganya watu? Huja kwa jina la Mungu sbb anapendwa na wengi. Pole sana na dikiteta uchwara wako
Na Yule aliyehushi vyeti anatumia jina la Mungu,hawa wengine wanalindani kwa udini na ukabila.
 
Back
Top Bottom