utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Sababu kubwa ni hili la maamuzi ya kishujaa, maamuzi ya kujenga na ya kupigiwa mfano. Alianza kwa kutimua wanafunzi wasio na sifa UDOM sasa amekuja na la kuondoa serikalini watumishi wasio na sifa kwa kughushi vyeti vya Elimu. Kimsingi wale wote waliokumbwa na hilo wameihujumu nchi kwa kipindi kirefu na walistahili wawe jela hivi sasa. Magu yeye amewahurumia sana. Wajitafakari na watanzania nao wawatafakari na wamuunge mkono rais kwa hatua hii muhimu ya kujenga nidhamu na uaminifu kwa taifa. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kuongozwa na mambumbumbu. Hawa ndio waliokuwa wanafanyia wagonjwa oparesheni ya kichwa badala ya mguu. goo Magu. Goo