Rais Magufuli ni Rais Bora lakini.....

Rais Magufuli ni Rais Bora lakini.....

Rais Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.

Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.

Nimesoma mara 3 sijajua unasumbuliwa na nn..fursa gan ametoa kwa vijana kujiajiri😏
 
Rais Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.

Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.
Basis mufanye awe mwenye heri, akuombee.
 
Nimesoma mara 3 sijajua unasumbuliwa na nn..fursa gan ametoa kwa vijana kujiajiri[emoji57]
Watanzania tuanze kujiuliza. Kwaanini Unaenda Shule wakati unajua Hakuna Ajira.
Nani aliyewaroga?.
Kuna vijana wanaona yaliowakuta Kaka na Dada zao waliosoma sana. Na wao wanafuata mkumbo huohuo. Kisa Prestige!!.

Elimu unasoma ikusaidie nini kama haitoi Ajira ?.
Unasoma ya nini kama haikuwezeshi kujiajiri?.
Na Kama haikupi descent life?

Tena unakopa Mkopo mrefu wa chuo kikuu unadaiwa na Riba, ukijumlisha na miaka ya kulipa. Unadaiwa Pesa ya kununua Rav 4 ya mtumba.

Graduate, Ukijitazama hata vocha unagongea kwa maparenti ambao hawajabukua kama wewe.

Kusoma sana ni Dalili ya Uoga wa Maisha.
Hakuna Kipya kule ni Muda unapoteza.

Na unarudi kitaa unakuja kuuza vocha kwenye maduka ya Tigo na Voda.
Au kulima kijijini kabisa.

Unakutana na vijana waliachia Form Two wengine La Saba. wanaenda China na Bondeni kwa Madiba kuchukua Mzigo hawajui kubonga kingereza kama chako lakini Mifuko yao imejaa Pesa.

Umebakia tu. You knowww, you knowww..

By ze way.. Niende moja kwa moja kwenye swali lako.

Mheshimiwa Raisi ameruhusu Vijana kupiga biashara popote.
Ametoa na Vitambulisho ili wasisumbuliwe popote. Tena vitambulisho ametoa yeye mwenyewe. Tunaanzaje kuuliza Ajira.

..Tupambane na hali zetu tuweze kujikwamua....
 
👏
 
Tangia awali nilihisi kitu kwank hata huyo mkuu asingeenda shule leo angefika hapo au ulitaka wote waishie la 7??

Hivi madaktari wangetokea wapi na walimu waliokufundisha hata kuandika hivyo unaandika wangepatikana wapi na wachumi je na programmer ambao leo unachat tu humu hujui hawa watu kutengeneza hii platform waliumizaje kichwa.

Sioni jipya kwako ila tu ni type ya "Yes mzee" tena kibaya zaidi akiondoka muda wake ukifika ndio nyie mnarudi tena kuanza mkandia.
 
Mkuu, naona unaweza kua na point ila Hujaiweka vizuri maelezo.

Mh.Ole sendeka ana div. Zero form Six lakini ni RC, Mh. Mbowe ana form six(Kama sijaweka rekodi vibaya), Marehemu Steven Ngonyani (Std7) alikua anapanda V8 Cruiser, Mbunge musukuma std 7. Hawa wote wako kwenye system ya utawala. Humprey Polepole kaishia Form 6 katibu Mwenezi CCM alishawahi kua DC. John Mnyika hana degree lakini Mbunge,
Yule mzee jina nimemsahau aliyekua msadizi wa karibu wa Dk slaa na makamu wake wa Raisi kama sijakosea rekodi. Kabla hajakimbilia CCM na kufa kisiasa naye ni Std 7.

Daudi Albert Bashite a.k.a Zero Brain amefoji vyeti lakini anakula good time. Listi ina makanjanja wengi sana wanatutawala.

Inshort kama we ni kijana wa juzi, nikikueleza tulishawahi kua na raisi aliyelazimisha kupewa degree hutaamini.

Njia ya kua mtawala kama John ni kujiingiza kwenye Siasa. Hakuna namna. Masuala ya Elimu sio ya msingi hata Katiba yetu inatanabaisha hivyo. Kujua kusoma na kuandika. That's it.!!
Cha msingi lazima tujifunze kua "Response to Change." Tusifosi Ajira wakati tunajua hazipo. Na hata zilizopo posho zake hazitoshi kutatua changamoto zetu. Tunatakiwa tujiandae kisaikolojia.

Na wengi wanang'ang'ana wakati hata Elimu yenyewe haikupi sifa ya kuajirika. Yaani unapewa mkopo wa 'Elimu Mbovu'. Kwenye interview unafeli. Yaani Inazidi kukuongezea frustrations mtaani. Na deni unadaiwa na jamhuri.

Shida nyingine elimu hiyohiyo mbovu unataka ikuwezeshe kuajirika. Umeuziwa 'kanyaboya' na jamhuri.

Ni kweli Mwisho wa Uraisi wake tutafanya analysis upya. Lakini Kama ataamua kuacha uraisi. Analysis mwishoni ni jambo la kawaida. I
tumie elimu yako ku-survive usawa huu. Hakuna namna.
 
Wacha tuendelee kushabikia kugawanyika kwa taifa letu halafu tutaona mwisho wake. Hakuna kitu Nyerere amesisitika kama uhuru wa watu kutoa mawazo yao katika nchi yao, na a nakwenda mbali na kusema maendeleo ya vitu hayo siyo maendeleo tunayoyataka. Sasa sijui sisi katika nchi yetu tuko huru kiasi gani. Hakuna kitu kibaya kama unafki unaofanywa na baadhi ya watu kushangilia mapungufu badala ya kukemea. Wenzetu hapo kenya upinzani wanashirikiana na serikali tena Laila hadi alijiapisha kuwa Rais ambalo kikatiba ni kosa la uhaini lakini Serikali ya Uhuru Kenyata imesamehe na maisha yanaendelea sisi hapa kwetu wapinzani ni kubambikiwa kesi kila kukicha ili kuongeza chucking zaidi katika jamii. Ni nani ananufaika na hiyo chuki inayotengezwa katika jamii yetu. Tunasubiri ifikie kile kiwango cha Rwanda na Burundi tuone itakuwaje. Hongera sana nyie mnaofanya unafiki katika mitandao maana tutafika huko mnakotaka taifa liende. Inashangaza sana misingi mizuri aliyoiacha Nyerere ya kuheshimu mawazo ya wengine tunaona haifai ni bora kulazimishana wote tuwe na mawazo ya aina moja. Kama kweli hatulioni tatizo basi tusubiri litakapokuwa kubwa haliwezi kuzuilika ndipo tutajuwa kiasi gani tumechangia kuingiza taifa kwenye matatizo.
 
Rudi kwenye takwimu mkuu. Usiwasifu Kenya wakati huwajui. Kwenye demokrasia, Sisi tuko vizuri zaidi yao.
 
Utawala wote wa Kikwete ulikua na Tatizo la Ajira.
Jpm amelikuta tatizo lilikua baya sana.

Hata Elimu ilishakosa thamani. Elimu iliacha kua Ufunguo.

Jk Aliharibu sana. Hata Upinzani ulioibuka wakati wake. Haukua ishara ya demokrasia bali Uzembe na uharibifu wa kiwango cha Lami. Ugaidi, Ufisadi na ujambazi wa kukatisha tamaa. Leo hao walionufaika na keki wamekatiwa mirija wanaanza kulialia kwasababu Miradi walioanzisha kwa pesa ya wizi, inakufa.

Ilishindikana kuwatia hatiani wengi kwasababu kila mtu alikua mwizi majaji, mawakili, polisi, wafanyazazi katika sekta za umma, viongozi wa dini, nk.
Mtu akiharibu anahamishwa kitengo kingine au mkoa mwingine ili akaibe tena.
Nchi ilikua inaoza.

Lakini kuhusu wapinzani hapa nchini.
Hata nikikuuliza, Ni awamu ipi wapinzani waliacha kunyanyaswa?. Jibu hakuna.

Kwa Mfano, Mrema amepigwa sana mabomu. Amesumbuliwa sana.

Maalim Seif mpaka akaitwa Gaidi. mpemba amevumilia mengi sana.

Wakina Amran Kombe, Horace Kolimba wote hawa waliangamia kwa sababu ya Upinzani. .

Wakati wa JK, Wakina Ulimboka, absalom Kibanda na wengine wengi. Dr. Slaa mpaka akalemaa mkono. Mkutank wa Cdm ulipigwa mabomu Arusha wakati wa JK.

Hivyo sio jambo geni sana. Ni muendelezo uleule. Kama utagusia Case study.

Demokrasia ni global agenda.
Lakini sisi kwa Rank za Mwaka huu tupo kwenye hali nzuri zaidi kwa Afrika mashariki.

Hao majirani zetu Kenya hali yao ni mbaya sana. Walishamuua aliyejaribu kuchunguza kashfa ya Rushwa ya Kenyatta. Alipigwa risasi ndani ya gari lake wakalitobia kila sehemu. Akafia hapohapo kwenye gari yake.

Tutazame takwimu duniani ili tuweze kujilinganisha. Tukijitazama sisi pekee yetu, kuna masuala tuna exagurate sana.

Naona unapata tabu sana kwenye utetezi. Kama wapinzani walinyanyaswa toka enzi hizo, sasa huu utofauti ulioletwa na Magufuli ni upi? Hao Kenya unaotaka kupotosha hapa wana demokrasia na maendeleo zaidi yetu. Hizo takwimu zako mfu hazina mashiko hapa. Anachokifanya Magufuli sasa ni kuhakikisha anaficha taarifa za maovu na kutangaza mambo fulani anayoyafanya. Hao wapinzani wana mengi ya kusema lakini risasi zitawahusu, naona na ww unahalalisha kwamba ni sawa wapinzani kufanyiwa ukatili kisa huko nyuma walifanyiwa hivyo hivyo. Mleta uzi anajitambua na anaeeleweka anachosema.
 
Rudi kwenye takwimu mkuu. Usiwasifu Kenya wakati huwajui. Kwenye demokrasia, Sisi tuko vizuri zaidi yao.

Weka chanzo cha takwimu zako. Hapa huongei na wajinga.
 
Rais Magufuli Yuko Vizuri sana.
Hana udhaifu wowote. Mambo mengi ni ya kutengeneza. Sasa mtu akijiua wewe unaushahidi kua sababu ni raisi. Ulimpima.akili yake kujua kama.ni mzima au la? Usijali sana mambo madogomadogo.

Tazama ile big picture. Watanzania wanamuelewa vizuri sana.mheshimiwa Raisi. Kuhusu ajira, amekupa fursa kajiajiri mwenyewe. Huyu ndiye Rais bora zaidi duniani. Anasema Ukweli hata kama haupendi kuusikia..amung'unyi maneni. Huyu ni mcha Mungu kabisa.

Magufuli is responsible kwa kifo cha huyu mtu,kama huyu kijana alijiua kwa tatizo la akili,nani yupo responsible kujenga mental health facilities kama sio JPM na serikali yake.???..ndege moja ingetosha kabisa kujenga hizi facilities....its time mkuu ai invest kwa watu wake..
 
Back
Top Bottom