Rais Magufuli ni quality na siyo quantity, ushahidi

Rais Magufuli ni quality na siyo quantity, ushahidi

Sikukuu njema mkuu Barbarosa. Napenda uandishi wako kwa sababu siku zote unachokoza fikra za watu hivyo mjadala unakuwa mrefu na wanaofaidika ni wengi. Wadau hutafuta cha kuongea ambacho ni negative, wanaongelea suala la sukari, likipatiwa utatuzi watahamia kwenye suala la Lugumi, likitatuliwa watahamia kwenye suala la mtoto wa mkuu wa nchi. Waliongelea suala la fedha za MCC, baadae wamarekani hao hao wakatoa fedha nyingine nyingi tu, kimya kimya wakaamua kuachana na issue hiyo ya wamarekani.
Yaani nafsi zao siku zote hutafuta kitu kibaya cha kuongelea.
Hata marekani changamoto hazijakwisha
 
Awamu hii ya tano imejidhihisrishia kwamba wao ni watu wa quality na siyo Quantity au kwa kikwetu tunawekeza zaidi kwenye ubora na siyo uwingi tu wa vitu, mfano hai watu wanapiga kelele mizigo kupungua Bandarini ambapo ni kweli lkn kwa mujibu wa TRA tunakusanya mapato mengi zaidi kuliko hapo mwanzo hivyo hapo utaona ni quality na siyo quantity, hata kwenye Utalii itakuwa hivyo hivyo watakuja watalii wachache kiasi lkn wenye uwezo mkubwa wa kifedha na siyo wengi lkn wasiokuwa na fedha za kutumia, hivyo hata hapa pia ni quality na siyo quantity!

Raisi Magufuli ni genius, na mtu genius huchagua watu magenius pia!
Hii ndiyo TanZania mpya bhana!
Usiache tusema tusivyo penda kusema , watu tunajua vitu vingi mkituudhi tunaweka hadharani. msituudhi!
 
Hata marekani changamoto hazijakwisha
July tarehe 4 yaani siku chache zilizopita USA imetimiza miaka 240 ya kuwa taifa huru lakini bado wanazo changamoto nyingi tu, kuna masuala ya hali ya hewa, vimbunga vya nguvu sana vinayatesa majimbo yao ya pwani. Mtanzania ambaye sana sana anasumbuliwa na mvua za April zinazobomoa madaraja, eti anataka viongozi wake wafanye kazi kama vile ni malaika waliotumwa duniani kwa kazi maalum. Safari yetu ya maendeleo ni ndefu sana.
 
Hakuna nchi duniani yenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia mia moja. Awamu ya tano inabebwa na jeuri ya kujitegemea na kukataa kulamba miguu ya matajiri, utu wetu hauwezi kuwekwa rehani eti kwa sababu ya shida za kiuchumi.[/QUOTE
Kwaio unataka waendelee kutuumiza na kodi lukuki kwa kuwa amtaki msaada
Uchumi hauko hvo
 
Marekani pamoja na uchumi mkubwa
Bado inategemea nchi zingine
Kwa sasa china ndio nchi inaidai deni kubwa marekani sisi ni ka nchi kadogo sana
 
Mtoa post ajielewi alaf inaonekana ni kibirti Ngoma.......
 
Kaka Messi kapewa kifungo cha nje cha miezi 21, na huyu sio wa kwanza. Huwezi kupiga hatua za kimaendeleo kwa kutegemea akili ya kupenda vya bure kila siku. Lazima maumivu yawepo kwa nia ya kujenga utamaduni wa maisha ambao faida zake zitakuja kuonekana mbeleni. Vumilia tu dawa iingie mwilini na utapona kabisa.
 
Back
Top Bottom