Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Awamu hii ya tano imejidhihisrishia kwamba wao ni watu wa quality na siyo Quantity au kwa kikwetu tunawekeza zaidi kwenye ubora na siyo uwingi tu wa vitu, mfano hai watu wanapiga kelele mizigo kupungua Bandarini ambapo ni kweli lkn kwa mujibu wa TRA tunakusanya mapato mengi zaidi kuliko hapo mwanzo hivyo hapo utaona ni quality na siyo quantity, hata kwenye Utalii itakuwa hivyo hivyo watakuja watalii wachache kiasi lkn wenye uwezo mkubwa wa kifedha na siyo wengi lkn wasiokuwa na fedha za kutumia, hivyo hata hapa pia ni quality na siyo quantity!
Raisi Magufuli ni genius, na mtu genius huchagua watu magenius pia!
Raisi Magufuli ni genius, na mtu genius huchagua watu magenius pia!
Hii ndiyo TanZania mpya bhana!