technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
tech, kwani hapa kuna technical/professional vigezo vinavyotumiwa nchi hii in all fields? Subiri Ole S anaweza kuwa Chief Justice!Tumezoea kuona uvunjaji wa katiba na sheria kutoka kwa utawala wa awamu ya 5.
Hivi kwanini kunyoosha nchi kusianzie kwenye mikataba mibovu?
Muhongo alifukuzwa kwa sababu ya escrow scandal na Tibaijuka kwa escrow scandal.
Sasa kwa nini Muhongo arudi kwenye baraza wakati Tibaijuka hakurudi? Au kwa vile yeye na wengine walichotea pesa Stanibic bank na hawakutajwa?
Leo hii IPTL inalipwa milioni 400 kwa siku halafu wananchi wanapandishiwa umeme kwa asilimia 8.5 Muhongo akiwa ndiye msimamizi wa kuongezeka kwa umeme huo bila sababu yeyote ya msingi .
Wakati IPTL wanajulikana ni wezi na wasumbufu wa nchi hii walifanikiwa kuchota bilioni 320 kutoka tegeta escrow.
Halafu waliosababisha wakina muhongo upo nao kwenye cabinet tena kibaya zaidi wizara hiyo hiyo..
Halafu unategemea jipya wakati huyu jamaa ndio alisema pesa si za umma. Sasa kama pesa hasikuwa za umma kwanini zinataka kulipwa Mara mbili tena chini ya Tanesco ambayo ni shirika la umma?.
Hivi Rais anapambana na wizi upi wakati wezi ndio hawa wanatamba mtaani.
Nyoosha nchi kwa kuwakamata matapeli wa nchii hii wanajulikana
Sio kuangaika na Lema na Lema.
Mafisadi yamekushinda.
Democrasia limekushinda
Uchumi umekushinda
Mikopo kwa vijana wetu imekushinda
Ajira zimekushinda.
Yaani kila kitu ni hovyo hovyo tu ndani ya serikali yako nyoosha nchi kwa kuyakamata mafisadi acha kulilia na wezi..
Tumezoea kuona uvunjaji wa katiba na sheria kutoka kwa utawala wa awamu ya 5.

Ni kweli prof ni professional by ni mwizi na yeye kala pesa za escrow sizani kama anakwepa hili.....tech, kwani hapa kuna technical/professional vigezo vinavyotumiwa nchi hii in all fields? Subiri Ole S anaweza kuwa Chief Justice!
Madalali na wapiga dili kama wewe na mleta mada na wengineo ndio wanaompiga vita muhongo lkn muhongo in mzalendo kwa nchi take asiyetaka ujinga ujinga wq madali na wapiga diliWatakwambia wewe mpigadili!
Professional lakini mwiziMuhongo performance yake ipo vizuri...
sawa hatukatai lakini na wewe utuambie je kuna unafuu kwenye umeme au hakunaNafikiri ni kwa7b Muhongo ndio professor pekee ambae u professor wake una uhusiano na wizara aliopewa yaani ni taaluma by professional