Rais Magufuli ndani ya kanzu

Rais Magufuli ndani ya kanzu

Wala hajapendeza,hiyo kofia kuuuubwa sijui alimshauri nani aivae.
Mama Janet ndio,aliwaka kwelikweli.
Sijui kwa nini hakuvaa vile vyeusi vinavyofit kichwa kabisa na hata hiyo kanzu ni ndefu sana angevaa zile fupi
 
Watanzania bwana " sasa cha ajabu in nini? Watu wanashangaa vitu vyavkawaida akili ndogo ndio sababu
 
Sijui kwa nini hakuvaa vile vyeusi vinavyofit kichwa kabisa na hata hiyo kanzu ni ndefu sana angevaa zile fupi
Unajua sana mkuu,mpaka unakera.
Ndio maana mada zako ni moto kwenye fashion.
Keep it up
 
13435581_10154073356951001_3505235611619299896_n.jpg
Rais Magufuli kaweka barghashia, siyo ndani ya kanzu.
 
Mkuu hiyo tittle sikuiandika mimi. Nilipost tofauti lakini moderators wameshaedit mara tatu. Siku hizi nchi hii kuna nidhamu ya woga sana. Hata maneno ya kawaida tu watu wanajishtukia. Tumerudishwa enzo za TANU.
 
Ha ha ha kunguru moga hukimbiza bawa lake
 
Back
Top Bottom