Hivi asiye Muislam kumfuturisha Muislam imekaaje??
teh teh tehTaasisi ya Urais haina dini
mimi niliitwa kafiri.
swissme
Mh JPM kanzu imemkaa vizuri hata mama magufuli pia mavazi yalimkubali.
Wala hajapendeza,hiyo kofia kuuuubwa sijui alimshauri nani aivae.
Mama Janet ndio,aliwaka kwelikweli.
Wewe nae picha jana zimetoka kibao tu.Wakuu hapo kwenye picha wanaonekana wanaume watatu, sasa huyo Mama Janet Magufuli mnayemzungumzia yupo wapi hapo?
Na wewe ghubu mpaka kwenye futali.Wala hajapendeza,hiyo kofia kuuuubwa sijui alimshauri nani aivae.
Mama Janet ndio,aliwaka kwelikweli.