Rais Magufuli: Natamani kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
1,379
2,533
Habar wakuu,

Rais Magufuli yupo ziarani mkoani Arusha na sasa anahutubia jimbo la Arumeru. Wakati akiwa anaendelea kuhutubia amesema ana uchungu na watu wa Arumeru Mashariki na kusema anatamani kuwa mbunge wa Arumeru kisa mbunge wa jimbo hilo, dogo janja hakuhudhuria mkutano wake.

NB: Hii imekaaje wadau, Rais anatamani kuwa mbunge hivi inaingia akilini kweli?

JIBU LA JOSHUA:

6452E60C-C1F1-407D-8BF7-571535E331E9.jpeg
 
KAZI NA BATA ndio habari ya mjini towards 2020 ... HAPA KAZI TU hata umatemate hamna, unakosa hata hela ya maji ya kufunga shimoni ...

Aaargh !!! Baba Jesca usituburuze hivyo bana ... Tuachie nchi yetu 2020 tupige KAZI NA BATA umeanza kwa mbweeeembwe lakini umeshindwa kutukonga nafsi watanzania ...
 
Afanye mpango tu nikagombee kwa sasa Dogo Janja anatengeneza maisha tu na hana muda kwa sasa
 
Lakini pia amewashukuru wanachama wa vyama vingine kwa ushirikiano
 
Hata ningewa rais wa tz ningefanya tz ingepaa sana na kupata maendeleo sana kuliko huyu mzee mliotuwekea hajui chochote kabisa, nazani tukitafuta viongozi wa nchi walio wa hovyo duniani huyo rais wenu wa tz angekuwa namba 1 maana ni rais wa hovyo haijapata tokea, yaani ni bora hata rais wa wasafi ni bora kuliko rais wa nchi
 
Bahati ilioje aiseee...Mh Nassari amwachie huo ubunge and then Mh wa chattle aje Arumeru naye aende kule magogoni...

fursa kwa dogo janjaro imetimba
Kama Rais alitahili kutoa kauli bora kuliko hii.

Hivi Rais kama ameona kuna chochote watu wa Arumeru wanakikosa, anashindwa vipi kuwafanyia lakini anamini kuwa akiwa mbunge ndiyo angeweza?
 
Back
Top Bottom