Ni yale yale mkuu wa mkoa kuagiza polisi kamata hawa na wasipewe dhamana hadi kesi iishe.Leo Januari Mosi 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezungumzia kuhusu upandishaji wa bei za umeme na kusema anamshukuru sana Waziri wa Nishati na madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme. Hapa chini ni video iliyotolewa na YouTube channel ya Ikulu ikionyesha kwamba hata yeye Mh. Rais hakuafiki kabisa bei kupanda.
Siku hizi kila siku tunatengeneza kitu cha kuwasahaulisha ugumu wa maisha na ili msiichukie serikali tunatengeneza mazingira ya kuwaonesha wananchi tunawajali hata kwa maigizo ya aina hii...Another well planned move to rise his rating that has been down lately!!!
ni mpango unaendelea wa kumsafisha muongo kwa wananchi aonekane anawajali watz,baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu kashfa ya ESCROW kwamba hafai kuishika hiyo nafasi tena. Masikini nchi yangu tangu awamu hii ianze watawala wake wamegeuka watu wa matamko. na kama hajatumbuliwa mtu katika hili nitaendelea kuamini yule mama Dr. wa NIMRI kafanyiwa makusudiHii nchi ngumu sana wezi wanataka kula tu peke yao.......
Hakuna jema kwako ungepanda ungelaumu umezuiwa usipande bado unalaumu!! Its ridiculous hata huo upinzani hauko hivi si bora ukae kimya kwa sab kusifia ni dhambi.Anaongea as if bei ya sasa hivi is affordable!!hivi hii nchi tulimkosea nini mungu?