Rais Magufuli na Waziri Mkuu wafanya ziara ya kushtukiza kwa Makamu wa Rais

Nilishasema IQ yako ni ndogo sana,you can't keep up with the adults conversation. Kwani zile card za Xmas alizopiga marufuku alizikuta au?
Wewe niwa kupuuzwa kama ulivyo upuuzi wako?

Kwa hiyo ulitaka maua aliyoyakuta hapo ofisini ayatupe kwa sababu serikali imepiga marufuku kununua kadi za x-mas.

Watu wa aina yako ni hasara kifikra!
 
Hapana sija simanga. Ila hii Idea ya kubana matumizi kuna wengi ambao wana exaggerate sana. Me sidhani kama ni kweli unadhani kuwa muonekano wa offisi ya makamu wa raisi hauna maana. ndo maana nimeshangaa
 
Ukiona Manyoya ujuwe.......... Ukisikia "Mama" ujuwe limempata. Mate yanawatoka utadhani Al Pacino anafoka :)

Bwana weeee! ninashambuliwa utadhani nimekwepa kodi

Nilikuwa nafikiria tu jinsi ya kubana matumizi. Nikakumbuka 'walk the talk'

Nashambuliwa sana, sijui niombe radhi kwa kuuliza kaswali hako ka kipuuzi au
 
katibu mkuu kiongozi ampeiga ''marufuku matumizi ya gharama kama kununua card na calendar''
Hayo maua mezani yanaangukia eneo gani!

Mkuu, hayo ni artificial yanasafishwa kila jumamosi kwa maji tu na omo ili yang'ae!
 
Ha ha ha jamani nguruvi kauliza swali la kiuchojozi tu, hakuna haja ya kumshambulia sana , sijajua mchukulienhilo swali too serious.
Mimi nitaluja na thread ya hayo majina ya mama mdogo yanayomzunguka maghufuli kwa nini?
Kwa sababu ukianzia na alhaji hasami ilikiwa tabu, mrisho ndio mama weeee kaharibu nashauri wasipewe cheo chochote tena
 
Hayo yalikuwepo kabla ya order kutolewa nawasilisha mkuu
Mkuu ahsante kwa kuwailisha

Nauliza tena, samahani kama nitakera, Mbona makontena yalipita kabla ya order?
Sitafuti sindano katika gunia la mashudu, natafuta uelewa tu

#Hapa shughuli, walk the talk

Hayo yalikuwepo kabla ya order kutolewa nawasilisha mkuu
Mkuu ahsante kwa kuwakilisha
Nauliza tena, samahani kama nitakera, Mbona makontena yalipita kabla ya order?
Sitafuti sindano katika gunia la mashudu, natafuta uelewa tu

#Hapa shughuli, walk the talk
 
Ha ha ha jamani nguruvi kauliza swali la kiuchojozi tu, hakuna haja ya kumshambulia sana , sijajua mchukulienhilo swali too serious.
Mimi nitaluja na thread ya hayo majina ya mama mdogo yanayomzunguka maghufuli kwa nini?
Kwa sababu ukianzia na alhaji hasami ilikiwa tabu, mrisho ndio mama weeee kaharibu nashauri wasipewe cheo chochote tena
Ebwana! Utadhani mimi ndiye mmiliki wa makontena
Povu linaweza jaza sadolini 100, kisa ka swalitu, tena ka kipuuzi
Namalizia migebuka yangu hapa mezaani!ebwana

HapaKz , walk the talk

Mkuu, hayo ni artificial yanasafishwa kila jumamosi kwa maji tu na omo ili yang'ae!
Ahsante mkuu
Nimeelewa, kama ni jumamosi watu hawafanyi kazi. Na hiyo omo inaweza toka nyumbani

Nachelea tu kama yakiwepo kwenye ofisi 200 hiyo si full time job!

Halafu mkuu si kwanza tunaondoa boriti ili tuweze kuondoa vibanzi kwa wenzetu

Anyways, mkuu nihisia tu zilinienda vibaya ndipo ni kakurupuka na kaswali ka hovyo

Hapa Kazi tu, walk the talk

Wewe niwa kupuuzwa kama ulivyo upuuzi wako?

Kwa hiyo ulitaka maua aliyoyakuta hapo ofisini ayatupe kwa sababu serikali imepiga marufuku kununua kadi za x-mas.

Watu wa aina yako ni hasara kifikra!

Taratibu,usimtoe roho kisa amehoji uwepo wa maua ofisini kwa Bi mkubwa.Tatizo lako unadhani kila aulizaye yupo kinyume na Serikali,kuwa huru usiuruhusu moyo wako kuwa na milipuko mithiri ya Volkano kisa umeona "komenti" iliyo kinyume na mtazamo wako.

Hoja ya kwamba maua hayo yalikuwepo kabla ya uwepo wake hapo ofisini,nafikiri ni hoja za kuzima mijadara ya kiudadisi.Mbona hupingi hatua zinazochukuliwa juu ya madudu yote yaliyofanywa na mtangulizi wake? Au unadhani sakata la upotevu wa makontena ni la juzi?Yaweza kuwa baadhi ya dili hizo zilipigwa miaka kadhaa nyuma,lakini kwa kuwa zililiathiri Taifa,Mkubwa ameamua kuzifanyia Kazi.
 
Bwana weeee! ninashambuliwa utadhani nimekwepa kodi

Nilikuwa nafikiria tu jinsi ya kubana matumizi. Nikakumbuka 'walk the talk'

Nashambuliwa sana, sijui niombe radhi kwa kuuliza kaswali hako ka kipuuzi au

Ha ha ha ha...
Kuna maana flani ya ziada wanayoiona kwenye swali lako.
Jibu moja tu.
Kuuliza si ujinga...kimya.

Ila Nguruvi3, maua sio kalenda wala kadi (za christmas) zilizopigwa marufuku kununuliwa. Bado sijasikia marufuku ya maua..
 
Walipofanya ziara ya ghafla kwa makamu wa Rais, hawajakuta uozo au ubadhilifu Fulani!? Natania tu.!!
 
Back
Top Bottom