1
Rais Magufuli Kiongozi na Mtawala anaewachanganya miongoni mwa wasomi.
Ni mwanataaluma zinazotenda Mwanasheia,Mchumi, Msoshologia,Mtheologia nk. Alipoanza na sheria akaona sheia za madini ni nyonyaji akafumulia mbali hakujali umataifa wa Sheria hizo kama ambavyo baadhi ya wabobezi wa Sheria kama hakina Lissu walivyoziita na wakata zieendelee kutunyonya akatupilia mbali Makinikia akashinda vita hivyo.
Malayan ya wasomi ya wasomi wa taaluma hii kwa nini wasiwe wakwanza kumuunga mkono Rais wetu anaposimamia maslahi ya Taifa kwa kujua Sheria njema ni zile zenye usawa baina ya wahusika(wanufaikaji) wa Sheria hizo!
Hata hivyo Sheria zisizonufaisha maisha ya watu kwa wingi wao zina Tija gani mpaka akina Tundulisu wasizione wao na kuungana na Rais wetu kwa hali au Shari kuhakikisha zinaleta manufaa kwa Taifa lakini badala yake wanakashifu juhudi za Rais? Tunakupongeza Rais wetu kushinda vita hii.
--
2
Rais Magufuli kama Msosologia katika kushughulikia janga la Corona ,kwanza aliwataka wananchi kutotishika kivile, lakini pia hakutaka wananchi wake wajitenge na Muumba wao kwa kuwa yeye ni msaada pia ktk uponyaji hivyo hakupiga marufuku za ibada lakini pia akatoa siku 3 za maombi kwa Mungu.Zaidi ya hapo akawahimiza watanzania kutumia Tiba mbadala kama njia ya awali kabisa ya kupambana na tatizo LA Corona wakati jamii itakapokuwa inafuata maelekezo mengine mhimu ya wataalam wetu.Kwa approach hizi zote Rais wetu anabeba uzalendo mkuu na anathamin nafasi ya Mungu ktk utawala wake badala ya kuegemea tu kwenye Sayans na technolojia au badala ya kucopy kwa viongozi wenzie wa kimataifa ambao kwao wengi wao kumjua Mungu so sehemu ya hitaji.Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Mtawala ambae anamshirikisha Mungu katika kutawala kwake basis Mtawala Hugo ufanikiwa,na kinyume chake ni sahihi,kama ambavyo tunaona baadhi ya watawala waliofanikiwa sana kama Suleiman,Yoheshafati,Ezekia,Mfalme Daud,Yoash,Josiah nk,na tunaona wafalme walioshindwa kabisa ktk Mtawala zao kama Sauli,Nebkadreza,Farao nk.Hivyo tunapongeza uzalendo wako Rais na Jim's ulivoshughulikia suala LA Corona kwa kuwakumbusha watanzania kutumia huduma za awali za kujifukia na kutambua nafasi ya Mora ktk uponyaji badala ya kutegemea pekee madawa na vifaa tiba vya wenzetu ambavyo si wakati wote ndivyo vyenye msaada ktk changamoto zinazotufika.