Rais Magufuli na serikali yake wanaendelea kufeli kwenye uchumi kama hivi na sioni future nzuri ya CCM katika Taifa hili

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Makusanyo ya mapato yasiyotokana na kodi yamepungua kwa Sh. bilioni 483.03 (23.3%) ukilinganisha na 2016/17. Kumekuwa na makusanyo pungufu kwa trillioni 1.2 sawa na 44.62% ikilinganishwa na makadirio Sh 2.8 trilioni yaliyopitishwa @bunge_tz #ChangeTanzania #CAGReport

D39pFXFXoAA3NOT.jpg
 
Huyu Mhe. ndio anahitimisha utawala wa CCM maana tunakokwenda ni wazi ni kubaya na wananchi watalazimika kutoka usingizini kutafuta mabadiliko.

Kuna wakati unakuja ambapo watanzania hawatahitaji kuhimizwa na wanasiasa kuchukua hatua, bali watahitaji wanasiasa wawaongoze tu katika kuchukua hatua sahihi au kwa maneno mengine watasubiri tu tamko wafanye nini na si kuhimizwa wafanye nini na wakati huo asilimia kubwa ya watu watakuwa wahanga hali mbaya ya kimaisha.

Time will tell
 
Huyu CAG akistaafu, tutarajie nini baada ya hapo katika utoaji wa takwimu za serikali? au ndiyo kusema ile sheria ya takwimu ilianzishwa kwa malengo maalumu?
 
All hail king Joni and his right hand man the wicked wizard of kolomije!
 
Back
Top Bottom