Rais Magufuli na Rais Jamali Malinzi

Mkuu mleta uzi, JPM hafanani kabisa na Malinzi. Ni kumkosea heshima kumfananisha mtu anayewapa kipaumbele wananchi wake na mtu ambaye alitaka FIFA watume fedha kwenye akaunti yake binafsi ili kodi ikwepwe.
 
Wenyewe ndo wabaguzi..! Uliza harassment walizopata wadada wa kisukuma walioolewa pande hizo walipokuwa wanaonyesha kutomuunga mkono mgombea wa kanda yao.
Tayari na wewe umeonesha ubaguzi, bora uchangie kuliko kutaja kabila fulani.
Miaka hii suala la ubaguzi linaongezeka sana kila kukicha, eeh Mungu tusaidie ili tuepukane na hili
 
Nenda kasome kwanza
 
Tumia kichwa kufikiri sio kufuga nywele tu

Yaani sijui hata maswali ya compare and contrast ulikuwa unayaelewa

Hivi rais wa nchi na rais wa mpira wapi na wapi?

Utakuwa zao la BRN sio bure
 
Mwisho wa siku wote wanaitwa marais ingawa kuna mmoja mizizo yake imeenda chini sanaaa zaid ya mwingine.
 
Jamal Malinzi jina la katikati ni lipi....halianzi na P ?
 
Achana na Malinzi, ni rais wa TFF tafuta ugali wako
Naona sasa utakubaliana na maneno yangu kwamba JPM anaangusha nchi tofaut kubwa kati yao ni kwamba yeye ana kinga ya kutoshtakiwa lakin Malinzi hana.
 
Naona sasa utakubaliana na maneno yangu kwamba JPM anaangusha nchi tofaut kubwa kati yao ni kwamba yeye ana kinga ya kutoshtakiwa lakin Malinzi hana.
Malinzi ni speculations, hazijathibitishwa. huyu anafanya yanaonekana completely out of rule of law!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…