Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
Sifa kuu zinazoangaliwa kwenye uteuzi ni uwezo wa mtu kwenye majukumu husika si ukubwa wa Sigda usoni, sura,dini,jinsia wala udogo au ukubwa wa makalio ya mtu.
Na ukatoliki wako ndio kigezo kikubwa
 
Huwa natafakari visiwani ninapoona post kama hizi
 
Nilikuwa natarajia ili kuzua mjadala mkubwa ila umeliwaisha.

Anyways ni zamu yao cha msingi tuone deliverance.
 
Sisi yetu macho mwenye akili timamu anaona
 
Kuwa kiongozi kwa nchi "zisizo na Dini" na zenye "kujali" misingi ya utawala bora inahitaji uvumilivu. Utakosolewa ukifanya, utakosolewa pia usipofanya.
 
Jamani ebu tuswali na kumwabudu Mwenyezi Mungu SW.
Haya mambo mengine ya Dunia ni ubatili mtupu.
Cha muhimu ni kuhakikisha tunaiona pepo, madaraka na hadhi za kidunia ni vitu vinavyopita.
Una uhakika pepo ipo?
 
Mbona hukuzungumza hayo kipindi cha JK
 
u are exellent
 
Kwanza mkubwa huo ni ubaguzi mkubwa wa dini na katika nchi yetu hauna nafasi kabisa sifa ya dini sio kigezo cha kuteuliwa katika au kupatanafasi ya kazi katika serikali.
Pia kama wewe ni mchambuzi mzuri na mbaguzi mzuri wa dini kwanza inabidi ujiulize kati ya wakristo na waislamu i dini hipi ina idadi kubwa ya wasomi? ili uweze kutafuta ubaguzi wako unaoutaka. cha msingi wapelekeni watoto wenu shule nzuri na katika shule zenu wekeni mazingira mazuri ya watoto kusoma vizuri kisha njoo na hoja yako mufilisi ya ubaguzi wa dini. Tanzania yetu hatutaki kusikia ubaguzi wa dini ukitaka nenda nchi yingine zenye chembe ya ubaguzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…