Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
Jenga hoja kwenye nchi yako, Zanzibar ni nchi jirani!
ni sehemu ya muungano, "Zanzibar siyo nchi "Pi
Jenga hoja kwenye nchi yako, Zanzibar ni nchi jirani!
ni sehemu ya muungano "Zanzibar siyo nchi" Pinda Mizengo, je shein kataeuwa wakristo wangapi? mbona hilo hamlalamikii? je huko hakuna wakristo wenye uwezo?

nda alishawaambia
 
wakristo hakuna kazi wanayofanya zaidi ya wizi na ufisadi escrow mpaka maaskofu wamekula hao wakristo walioteuliwa wanasifa gani mbona hatuzijui
 
Acha kuleta udini hapa, kiongozi yeyote anakuwa haendi kuongoza waumini wake, kumbuka kuna viongozi wa dini kama Mashehe, wachungaji n.k, hawa ndio wanaofanya kazi ya kulisha kondoo au waumini wao. Kiongozi yeyote anakuwa kwa ajiri ya wote. Ukisema Waislam mmeonewa basi na baadhi ya makabila nayo yataanza kulalamika kuwa wanaonewa.
Na mara nyingi ukikuta mtu analalamika kila mara kuwa anaonewa basi mtu huyo ni mbinafsi na ana roho mbaya.
 
Hivi Zanzibar hakuna asiye muislam mwenye sifa ya kuteuliwa na rais?

Mbona waislamu na wakristo pekee ndo hujiona wanastahili 50/50 ilhali kuna wasio na uwakilishi wowote kwenye teuzi na wala hatusikii hizo kelele?
 
Mkuu swala ni hao watendaji kunamahala wametekeleza kidini?
Haya mambo ya kuanza kuhoji udini hapa naomba pia uende zaidi uchukue ratio ya hizi dini mbili nchini ratio ikoje.

Ndio uje kiangalia uteuzi....maake ratio ki population inasoma 70:30 basi hata teuzi zitakuwa ziko sawa.

In short najaribu ku discourage matumizi ya dini na kama inabidi basi nakurudisha kwenye population ratio ili usawa unaotakiwa basi uangaliwe kwa vigezo vinngi sasa!
 
Kikwete na msumo islam umepita sasa n zamu yetu..... meza povu lhloo
 
naunga mkono hoja, ila hakuna mtu nchi hii anaweza kuwa nafasi yoyote bila bila msaada wa waumini Hawa.
 
Mambo ya udini hayana tija watanzania. Jambo moja huanzisha lingine mara ukabila, ukanda nk.

Chamsingi ni je huyo aliyeteuliwa ana sifa stahiki? Huduma inatolewa kwa kuzingatia udini?
 
naunga mkono hoja, ila hakuna mtu nchi hii anaweza kuwa nafasi yoyote bila bila msaada wa waumini Hawa.
 
Mikusanyiko ya kidini nje ya nyumba za ibada nanipigwe ban...hapa.jf pia admin piga ban hii kitu. Haina afya yoyote watu wanashabikia udini huku watoto wanakalia matofali.
hakuna cha kupigwa ban mfumo kristo umezidi hii nchi ujinga mtupu
 
Ngoja nasi wa dini za asili tuanze kudai haki zetu mbele ya serikali yetu tukufu.!
 
Hivi waziri mkuu ni dini gani? Sina nia mbaya humu umetoka uzi ukisema JPM na Mfumo Kristo! Mwingine akajibu mbona Waziri mkuu na samia ni waislamu. Mwingine akasema Kassim ni jina tu, akaishia hapo
Ni muislamu mh Majaliwa
 
Sio udini2 subirini na kuishiwa na kupandishiwa bei kila kona, ccm oyeeeeee nanyie mlikua wakwanza kuitikia oyeeeeeeeh
 
Post za udini na wadini hawana nafasi kwangu... Can't even waste my time reading all this rubbish! I believe in Merits not Exrimists.
Well U have wasted ur precious time in writing these four lines...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…