Rais Magufuli na Mama Janet Magufuli wamchangia msanii Wastara Sh. Millioni 15

Pale ambapo raia namba moja anaangalia kipindi cha shilawadu
Niliposoma kuwa Rais anaangalia Shilawadu, nikakumbuka mambo ya mikutano ya DAVOS ghafla nikawaza mengi sana especcially kuhusu Destiny ya nchi yetu.

Sijui hata kwanini nikawaza hayo.
 
lissu zile zake tena za haki hamtaki kumpatia huko vijijini watu kibao wanamaradhi yanayosababishwa na ccm wala hamhangaiki nayo huyu mwanamke si anamapesa ?mmemchangia kwasababu gani labdaView attachment 684796 sadifa wake si angempa mapene maana anaweza kuhonga uvccm inakuwaje hakumsaidia mkewe?
ok labda unahisi hakustahili kusaidiwa lkn je ww n miongon mwa wanaowasaidia wenye uhitaji zaid ktk eneo ulipo?
 
Hivi unamjua huyu dada vizuri au umeanza kumsikia tu juzi akiomba msaada?

Hivi ile michango yoote aliyopata wakati ule kabla ya kwenda night club kucheza na kujitonesha tena iko wapi?

Sikatai kabisa yeye kuchangiwa...ILA tukumbuke pale hospitalini aniwaaacha wenzie wenye hali mbaya sanaa kukiko yeyr...yeye ana unafuu mkubwa wa Afya lakini ana unafuu mkubwa zaidi wa Uchumi na Mali.

Mtu unaposaidiwa na kupona ugonjwa au kupata afya unapaswa umshukuru Mungu na watu waliokusaidia halafu utulie na kuacha mbwembwe.
Inaonekana alishapona, lakini baadae maradhi yalirudi tena, tuseme hii ni mara ya pili ama nini bhasi!
 
sawa.... kulikuwa na sababu ya kutangaza kwenye media ? ukishaamua kutoa msaada toa msaada, sio lazima utangaze. kwa nn wasingempa kiasi chote (mil19) anazohitaji ? naamini hawajashindwa.......
Alibaki na uhitaji wa m13 tu alivyopigiwa na rais lkn rais kampa m15 na wafanyakazi wa ikulu wamemchangia m1.9 kutangaza ni sehemu ya kuhamasisha.
 
inasemekana etii Wastara ni mpigaji, kampiga Magu hizo pesa.

Hamjiulizi kwanini wale wasanii wakubwa waliochangia hadi million 40 mwaka 2016 kwanini wamemkimbia this time?
 
Acha pumba tundu lisu ana mikono mingi....halafu sadaka hata we we unaweza MPA bakhresa....in suala LA kiimani zaidi
 
sawa.... kulikuwa na sababu ya kutangaza kwenye media ? ukishaamua kutoa msaada toa msaada, sio lazima utangaze. kwa nn wasingempa kiasi chote (mil19) anazohitaji ? naamini hawajashindwa.......
Mburura wewe pesa ni zake ana haki ya kutangaza kwa vile tatizo LA wastara lilitangazwa pia na msaada ni msaada tu husilazimishe mtu kuchangia chote.Maumbwa mengine yenyewe ni kupinga kila kitu tu.Yawezekana mkundu kama huyu alishamkana mama yake mzazi kwa uzuzu huu
 
Wastara amekipigania chama kwa moyo wake wote..ingefaa apelekwe India hata kwa gharama za government...

Hadhi ya Wastara ni zaidi ya wale wabakaji wa kikongo,athaminiwe zaidi..

Pongezi kwa wote wanaozidi kumchangia kwa moyo..

Yule mfadhili wa makanisa na misikiti naye aweke nguvu zake
Rais anawakilisha serikali lkn kuna wizara na wafanyakazi kadhaa wa serikali wamemchangia so hakuna tofauti na kumpeleka India kwa sab sasa ataenda India anytime.
 
Back
Top Bottom