Rais Magufuli na Mama Janet Magufuli wamchangia msanii Wastara Sh. Millioni 15

Ana mshahara ambao hanunulii chakula, mafuta,nguo wala ada ya shule anaweza kutoa pesa zaidi ya hiyo.
Kwa mamlaka aliyo nayo kuchota hazina sio kikwazo, ndio maana tunahoji kama kweli katoa kwenye mshahara wake.

Kama ameamua kutangaza kiasi na atangaze basi kilipotoka ama mfukoni kwake(mshahara) au Hazina.
 
Kwa mamlaka aliyo nayo kuchota hazina sio kikwazo, ndio maana tunahoji kama kweli katoa kwenye mshahara wake.

Kama ameamua kutangaza kiasi na atangaze basi kilipotoka ama mfukoni kwake(mshahara) au Hazina.
Ameshasema ni zake ingekuwa hazina angesema imetoa serikali.
 
Igwe wanaJF

Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na mentor wao Mange Kimambi ghafla wamemchukia Wastara mara baada ya Mh.Raisi Magufuli na watumishi wa Ikulu kumpatia Wastara kiasi cha pesa alichohitaji kwa matibabu nchini India.

Kwa haraka haraka sijajua chanzo cha chuki hizo kiasi cha kuandaa 'filamu' za uongo dhidi ya Wastara japo inaeleweka kuwa wafuasi wa Chadema wameumbwa kupinga na kuwa wapinzani Maisha yao yote.Je kumchukia Wastara itawaongezea kura Kinondoni na Siha?
 
Mbona unaandika kama umekosa ujira kutoka kikosi kazi? Hebu fafanua basi usije ukaambiwa umeandika pumba.
 
sawa.... kulikuwa na sababu ya kutangaza kwenye media ? ukishaamua kutoa msaada toa msaada, sio lazima utangaze. kwa nn wasingempa kiasi chote (mil19) anazohitaji ? naamini hawajashindwa.......

Ahhhhhh. Chuki mbaya yani unakuwa Huna Jema. Mtakufa Vijana. Angalieni mema maishani husaidia kuongeza life Span.
 
Amezitoa wapi? Ikulu kuna biashara gani? na mshahara wake alipunguza? mke hana kazi!

Huyu jamaa mwizi wastara jitahidi zikatae hizo fedha ni haramu unaweza usipone! amini maneno yangu! hayaaa! tutaona!

WENYE MAGARI WANALIA ,Wafanya biashara, watoto wa wafanya kazi wanalia, wengine wame drop shule, fedha haramuuuu!
 
Back
Top Bottom