Kinachotuponza watanzania ni kukosoa jambo bila kuchunguza uhalisia wake. Uhuru mnaoutaka nyinyi haupo dunia kote. Kila nchi ina sheria na taratibu zake ambazo huwezi kuziepuka.
Kuhusu Libya ni suala ambalo linatakiwa kufundishwa hata mashuleni ili wanaokuwa waelewe kile kilichotokea Libya kabla historia haijaanza kupotoshwa. Jamaa kweli alikuwa dikteka, dikteka ambaye aliandaliwa na Uingereza kuja kuitawala Libya kwa kufanya mapinduzi lakini ni kiongozi aliyependa watu wake. Na waliompinga aliwapoteza. Aliuwa mapandikizi kama 2000, lakini baada ya kutoka madarakani ni watu wangapi wamekufa huko Libya?
Dunia leo inashuhudia idadi ya wakimbizi wengi kuwahi kutokea tangu dunia ianze Huko Syria! Hivi vitu huwezi kuvielewa kama hujaamua kuvielewa...
Gaddafi alitoa skolashipu bure kwa wanafunzi kutoka afrika, na alisaidia afrika katika tozo ya satelaiti tunayotumia leo kwenye mitandao. Pia hiyo Libya ya Gaddafi ilikuwa na maisha bora kwa kila raia kuliko nchi zote za mashariki ya kati. Sasa shida ya Gaddafi iko wapi hapo? Aliowaua ni kawaida kwa wahaini katika nchi yoyote ile, hata Tanzania Nyerere alikuwa anawapoteza watu waliokuwa wanahatarisha usalama wa serikali yake.
Uhuru mnaotaka nyinyi haupo dunia kote! Serikali lazima isimamie sema ni kwa namna tofauti. Kuna nchi zingine hata uchaguzi hautakiwi kuwepo, sababu za kiusalama na kuepusha vurugu. Ni nafuu kiongozi yule yule aendelee kutawala ili kuepusha machafuko, hii inatokea sana nchi za uarabuni.
Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
KuweitHuwa anaongelea na Iraq pia...
Kama unampenda mpe chai anyweTunampenda rais magufuli,nyinyi mshazoea wizi ndio maana hamumpendi
Ukituliaga unatoa vitu vyenye akili wewNi mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.
Kwamba mambo huko Libya yalikuwa safi tu. Vijana waliokuwa wanaoa walipewa hela, nyumba, na mengineyo.
Inawezekana kweli walikuwa wanapewa hivyo vitu lakini je, walikuwa wako huru kiasi gani?
Gadafi alikuwa dikteta. Tena dikteta mkubwa tu aliyeng'ang'ania madaraka kwa muda mrefu sana hadi walipomfurumsha.
Mtukufu rais Magufuli naye watu wengi wameshaanza kumwona kuwa ni dikteta. Hataki watu wafanye siasa kwenye maeneo yasiyo yao.
Tumeshaona na kusikia watu wakikamatwa na kufunguliwa mashitaka kwa makosa ya kumtukana/ kusema maneno mabaya dhidi yake.
Tumeona vyombo vya habari vikifungiwa kwa sababu zisizo na mashiko.
Sasa haya mambo ya yeye kuisifia Libya ya Gadafi mimi yananitatiza.
Nabaki najiuliza maswali tu. Ina maana yeye Magufuli alikuwa anamwona Gadafi kuwa ni kiongozi bora aliyeweza kutunza amani huko Libya hadi awe anaisifia sifia hivyo?
Kama Gadafi ndo mmoja wa viongozi ambao Magufuli anawaona kama mfano mzuri wa utunzaji wa amani, watu wakimwona na yeye dikteta watakuwa wanakosea kweli?
Ndo mambo ya ndege wafananao hayo au..?
Rafiki kuna watu humu wanamonitor each and everything going on over here! Be careful usije pata matatizo na wa kukutetea ni wachacheTukisema ni dicteta watu wanabisha kwanini utolee nchi za kidicteta mfano asipoongelea Libya ataongelea Rwanda
Hivi ulishawahi kusikia nchi ya amani watu wake wanazuiwa kuandamana!?Binadamu sisi ni waajabu na wanafiki tusioridhika hata kidogo. Imagine bila aibu watu wanaolilia demokrasia ndio hao hao wanaogeuzana nyuma! Uhuru wanaoudai ndoo huo huo unaowapelekea hata kubadilisha matumizi ya miili yao. Kila kitu lazima kiwekewe sheria na zuio. Hauwezi kufanya chochote ukiulizwa demokrasia. Watu wa Libya watasumbuka sana tena sana. Hawana shukrani. Ss hiyo demokrasia waliyoililia ndiyo wana enjoy
hahahaha, hebu sema Mimi ndiyo mtukufu mfalme wa wafalmeNgoja niongee kilugha kama baba Jesca aongeapo na watanzania, "Ndamko Ndalo Biswalo..... Ndendya Atukuzwe".
Matatizo kwa unajua Mimi nani au ni mtoto wa nani waambie waje wanitafute !!Rafiki kuna watu humu wanamonitor each and everything going on over here! Be careful usije pata matatizo na wa kukutetea ni wachache
Yaani wewe nyani, hata sijui nisemeje, yaani umezungumza pumba tu. Hujaelezea udikteta wa gadafi sawa sawa, Toa ufafanuzi kamili kwa nini gadafi alikuwa dikteta? au kwa kuwa ulisikia tu ma wester walikuwa wakimuita hivyo basi na wewe kumba kumba unachukulia hivyo hivyo? sasa eleza hapa halafu tukupe shule kamili.Ni mara kadhaa sasa nimemsikia mtukufu rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, akiwa anazungumzia suala la amani, akiitolea mfano nchi ya Libya kipindi cha Gadafi.