Rais Magufuli na kitabu cha siri

Sikijuwi wala siyajuwi yaliomo maana sina nafasi yakuyajuwa walakuyaona kama Raia ila Rais wa jamuhuri peke yake.
 
Kumbe tusilaumu rais yoyote wala kumsifu kumbe ni kitabu cha siri kimemuongoza afanye hayo! Kelli dunia ina mambo!
 
Sikijuwi wala siyajuwi yaliomo maana sina nafasi yakuyajuwa walakuyaona kama Raia ila Rais wa jamuhuri peke yake.
Duh! Hii kali...hukijui na wala hujui yaliyomo!!!! Hayo uliyoeleza kwamba hicho kitabu ndio mwongozo wa raisi umeyajuaje!? Sitaki kuamini kwamba hizi ni ndoto!
 

Hapa kwetu kazi tu.
 

Asante!
 
The thread is an after effect of too much James Bond movies. Dont blame the guy for being artistic and imaginative. Secret Book my black a**.......
 
Kitabu cha siri ambacho habari zake tayari ziko hapa na mleta hoja unajua fika kwamba Mheshimiwa anatekeleza yaliyomo humo ndani na wakati yeye sio miongoni mwa marais wastaaf tayari inatoa sifa ya hicho kitabu kuitwa cha siri.
Ni siri ya dhahiri.
 
Kama kuna lijitabu la siri ambalo sisi Raia hatulijui basi Utawala huu haufai kuitwa Utawala wa Uwazi na Ukweli. Ni Utawala wa mambo ya gizani usiofuata Sheria Kanuni na Taratibu.
 
Kama Kuna Kitabu, Kwanini JK asimkabidhi pamoja na (Hiki aliyoandika Mwenyewe) Na huku akimcheka angalia hicho Kicheko

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…