Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Siku mtu Fulani akiondoka humu duniani tbl rekodini mauzo yenu hamtaamini.
 
Kwa kauli ile Watekaji wamepewa kinga jamii itumie self defense act kujilinda kama ya tarime ndo funzo sahihi.
Kumbuka wamekuja kukuteka wakakuhoji na sio kukuuwa on sport hivo usiogope bunduki ogopa gari usikubali kuingia garini ukikubali umekwisha pambana nao hata wakikuuwa on spot hawawezi kukubeba ndugu watakuaga kwa heshima kuliko kuliwa na chatu.Usikubali kutolewa kafala kwa shetani kulinda ugali wa watu.
 
Mbona ni polisi wenyewe ndio hutwambia wananchi kwamba wasiojulikana ndio wamefanya uhalifu? Utasikia kamanda akisema " Amepigwa risasi na watu wasiojulikana". Sasa kwa nini lawama tupewe sisi tunaopewa tu taarifa kwamba wasiojulikana wamefanya yao?
Ndo maana uchunguzi hufuata
 
Kule Mwanza kuna mfanyabiashara ilikuwa apotezwe pale kwenye kituo cha mafuta, bahati nzuri alikuwa na silaha, akafanikiwa kujinusuru
 
Kama ni hivyo nami nashauri watanzania tujihami na hao watekaji kwa kupiga yowe la majambazi ili hata kama ni vyombo vya usalama basi wakaendeleze utekaji peponi. Zakaria was very right to shoot them. Wananchi walitakiwa wawaponde mawe
Walishawekwa kati watangulizwe wakaokolewa na ndugu zao
 
Tunataka watekaji wa MO,

Awamu hii wamezidi mno, kukwambia ukweli siyo kukutukana
 
kinachotakiwa ni uthibitisho kuwa waliomteka hawahusiki na taasisi yoyote ile ya serikali na tutawafikisha mahakamani kwa kujitambulisha hivyo, hatuwezi kukubali wachafue taasisi ya serikali.
 
Wewe utakuwa ni mtekaji lazma utetee ajira yako
 
kinachotakiwa ni uthibitisho kuwa waliomteka hawahusiki na taasisi yoyote ile ya serikali na tutawafikisha mahakamani kwa kujitambulisha hivyo, hatuwezi kukubali wachafue taasisi ya serikali.
Ni jukumu la taasisi hizo kujisafisha kama wasiojulikana wanna nguvu kuliko dola na haiwezi wadhibiti wewe ni mtoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…