Watanzania wamechoka na uonevu wa kisaikolojia kwa baadhi ya watu, Wapo watu kama Lowassa wameonewa kisaikolijia mara nyingi sana.Hata baada ya yeye kujieleza bado amekuwa akikebehiwa na watoto wadogo
Ombi langu kwa Rais Magufuli,Ukiwa kama mgombea uliyeahidi kupambana na ufisadi mpaka kuahidi kufungua mahakama maalum ya mafisadi.Nakuomba kama kweli Lowassa ni fisadi kama watu waliokuwa wanakupigia kampeni walivyo tueleza anza naye umfikishe mahakamani.
Si busara kuendelea kumwita mzee huyu fisadi na mamlaka ya kumshitaki mnayo. Rais wangu Dr Magufuli najuwa wewe humtanguluza mungu kwa kila jambo.
Kama Lowassa ni Fisadi kweli tunaomba anza naye ili apate heshima yake au heshima yake ipotee Nakumbuka uliposema Mafisadi wamekimbia CCM baada ya wewe kupata uteuzi.
Mhe.Rais anza na hao waliokimbia baada ya uteuzi wako, Si vema kuendelea kumwita mtu fisadi kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi paspo na ushaidi wowote.
Tatizo lako ulikuwa umejijaza ushabiki pasipo kufuatilia matamshi ya Magufuli na kipaumbele chake cha kwanza alisema ni kipi, yeye aliahidi na kuapa kwa Mungu kuwa cha kwanza atafungua mahakama ya mafisadi na majizi yoote na kuhakikisha yanafungwa na iwe fundisho. Mleta mada ajampangia kazi ila amemkumbusha kuwa alituahidi kuwa ndio kipaumbele chake kikuu kuwafunga mafisadi na majizi yote na tukirejea maneno ya wapiga kampeni wake waliomsaidia kuingia Ikulu walimsema sana Lowassa kama ndio fisadi mkuu ndani ya nchi hii kwa hiyo ndio maana anaambiwa amchukulie hatua kwanza huyo fisadi mkuu kama alivyotajwa na hao wenzake.
Mzee siku hizi hata mantiki zimekupungukia? Matamshi ya wapiga kampeni wa CCM na Magufuli yalionesha kabisa kwamba Lowassa ni Fisadi mkubwa sana na ni hatari kupewa nchi. Kwenye kuukoleza ujinga huo unaoushangaa, Magufuli akadai akichaguliwa kuwa Rais atafungua Mahakama ya kushugulikia majizi na mafisadi. Na kwenye matamshi yake hayo alionesha kwa bayana na kabisa kwamba anamlenga Lowassa. sasa keshakuwa Rais, basi ampeleke mahakamani!!Magufuli alimwita Lowassa fisadi?
Watanzania wamechoka na uonevu wa kisaikolojia kwa baadhi ya watu, Wapo watu kama Lowassa wameonewa kisaikolijia mara nyingi sana.Hata baada ya yeye kujieleza bado amekuwa akikebehiwa na watoto wadogo
Ombi langu kwa Rais Magufuli,Ukiwa kama mgombea uliyeahidi kupambana na ufisadi mpaka kuahidi kufungua mahakama maalum ya mafisadi.Nakuomba kama kweli Lowassa ni fisadi kama watu waliokuwa wanakupigia kampeni walivyo tueleza anza naye umfikishe mahakamani.
Si busara kuendelea kumwita mzee huyu fisadi na mamlaka ya kumshitaki mnayo. Rais wangu Dr Magufuli najuwa wewe humtanguluza mungu kwa kila jambo. Kama Lowassa ni Fisadi kweli tunaomba anza naye ili apate heshima yake au heshima yake ipotee Nakumbuka uliposema Mafisadi wamekimbia CCM baada ya wewe kupata uteuzi.
Mhe.Rais anza na hao waliokimbia baada ya uteuzi wako, Si vema kuendelea kumwita mtu fisadi kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi paspo na ushaidi wowote.
Mzee mwanakijiji, naona mahaba yamekuzidi na ccm sasa, yaani uanataka kusema Magufuli hakusema lowasa ni fisadi, tena siyo huyo tu alisema hata sumaye ni fisadi.mzee punguza mahaba!
Wewe umpangie ratiba ya kazi rais kama nani wewe ama unahisi urais ni ujingaujinga kama unaoufanya wewe na wanywa viroba wenzako? kaipangie familia yako siyo rais
Bavicha acha kumpangia Rais...kazi Lowasa atafikishwa mahakamani muda ukifika.....!