Rais Magufuli mpeleke Lowassa Mahakamani kama ni fisadi

point kibo maana hii mi ccm ka mikupe!!
Waache ngonjera wafanye vitendo!!
correction: Magufuli hamtangulizi Mungu labda mungu mtu
 
Last edited by a moderator:

Ni Rahisi sana kwa Magufuli kuitetea na kuipitisha Katiba ya Wananchi kuliko.....

Kumpeleka Lowassa Mahakamani!

 
Watanzania wamechoka na uonevu wa kisaikolojia kwa baadhi ya watu, Wapo watu kama Lowassa wameonewa kisaikolijia mara nyingi sana.Hata baada ya yeye kujieleza bado amekuwa akikebehiwa na watoto wadogo

Ombi langu kwa Rais Magufuli,Ukiwa kama mgombea uliyeahidi kupambana na ufisadi mpaka kuahidi kufungua mahakama maalum ya mafisadi.Nakuomba kama kweli Lowassa ni fisadi kama watu waliokuwa wanakupigia kampeni walivyo tueleza anza naye umfikishe mahakamani.

Si busara kuendelea kumwita mzee huyu fisadi na mamlaka ya kumshitaki mnayo. Rais wangu Dr Magufuli najuwa wewe humtanguluza mungu kwa kila jambo.

Kama Lowassa ni Fisadi kweli tunaomba anza naye ili apate heshima yake au heshima yake ipotee Nakumbuka uliposema Mafisadi wamekimbia CCM baada ya wewe kupata uteuzi.

Mhe.Rais anza na hao waliokimbia baada ya uteuzi wako, Si vema kuendelea kumwita mtu fisadi kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi paspo na ushaidi wowote.

MTU ambaye alipandikiza mbegu ya chuki na kufanya Lowasa anyanyasike kisaikolojia ni Kubenea. Kupitia M'halisi kubenea alimchafua sana Lowasa
 
Tatizo lako ulikuwa umejijaza ushabiki pasipo kufuatilia matamshi ya Magufuli na kipaumbele chake cha kwanza alisema ni kipi, yeye aliahidi na kuapa kwa Mungu kuwa cha kwanza atafungua mahakama ya mafisadi na majizi yoote na kuhakikisha yanafungwa na iwe fundisho. Mleta mada ajampangia kazi ila amemkumbusha kuwa alituahidi kuwa ndio kipaumbele chake kikuu kuwafunga mafisadi na majizi yote na tukirejea maneno ya wapiga kampeni wake waliomsaidia kuingia Ikulu walimsema sana Lowassa kama ndio fisadi mkuu ndani ya nchi hii kwa hiyo ndio maana anaambiwa amchukulie hatua kwanza huyo fisadi mkuu kama alivyotajwa na hao wenzake.

Uelewa ni ki2 cha maana sana,
Nashukuru mkuu kwa kuliweka sawa hili..hiz akili ndogo znasumbua sana hasa kwenye ku-grasp mambo
 
Kama kwel mtu unabusala na unaweza kujenga hoja nzur kwa mazingira sahihi hii thread yako usingeiangika .fikiria rais hajamaliza hata ck tano madarakan ety akurupuke tu lowassa mahakan heee wait a time .muda utafika huez jua mh rais anaanda nn .kwenye kes knavit ving vinahitajika kuwasawa .kama kwel unauwezo wa kufikilia vizur hata ww unaona rais ameingika katika kipind kigum na matatizo mengi.mfano Zanzibar bado kna tatizo na kna mgogoro.pil wanafunz weng wamekosa hela .ety aache kushugulikia hili akurupuke tu na mikesi.pia ujue hili lowassa ananguv flan kutoka kwa wat wanaojidai wanaukawa kitendo tu cha mh rais kumupeleka mahakan hiki kipind kinaweza kusababisha mgogoro iwe losawa ana kosa au hana wanywa viroba na wavutabaj hawaelewi hayo wanaelewa tuu kuandamana .kwa hiyo bado kna mambo mengi mh rais anatakiwa ayaweke sawa .aweke serikal sawa anamtihan mkubwa wa kuchagua nan ashirikiane nae kwa upande wa mawazir.dah i can say sorry to you .umekurupuka sana yan. And i can say poor minded
 
kwanza matatizo yao ya chadema wanashindwa kuyamaliza leo urukie utaratibu wa urais huyo malaika wenu lowasa atapelekwa na mafisadi wengine wala usiwe na shaka
 
Magufuli alimwita Lowassa fisadi?
Mzee siku hizi hata mantiki zimekupungukia? Matamshi ya wapiga kampeni wa CCM na Magufuli yalionesha kabisa kwamba Lowassa ni Fisadi mkubwa sana na ni hatari kupewa nchi. Kwenye kuukoleza ujinga huo unaoushangaa, Magufuli akadai akichaguliwa kuwa Rais atafungua Mahakama ya kushugulikia majizi na mafisadi. Na kwenye matamshi yake hayo alionesha kwa bayana na kabisa kwamba anamlenga Lowassa. sasa keshakuwa Rais, basi ampeleke mahakamani!!

Ni kweli na CHADEMA nao walishawahi kumwita Lowassa fisadi lakini wao hawakusema kwamba wataanzisha mahakama ya kushughulikia majizi na mafisadi, aliyesema hivyo ni Magufuli na ndiyo keshakuwa Rais bila shaka sasa atimize ahadi yake!!
 
Wanywa viroba bana, Rais yuko busy kuweka mikakati ya kupeleka watoto shule bure kuharakisha mikopo nyie mnaleta Majungu, eti ampeleke lowasa mahakamani ili Iweje.???
 
Mzee mwanakijiji, naona mahaba yamekuzidi na ccm sasa, yaani uanataka kusema Magufuli hakusema lowasa ni fisadi, tena siyo huyo tu alisema hata sumaye ni fisadi.mzee punguza mahaba!
 
Watanzania wamechoka na uonevu wa kisaikolojia kwa baadhi ya watu, Wapo watu kama Lowassa wameonewa kisaikolijia mara nyingi sana.Hata baada ya yeye kujieleza bado amekuwa akikebehiwa na watoto wadogo

Ombi langu kwa Rais Magufuli,Ukiwa kama mgombea uliyeahidi kupambana na ufisadi mpaka kuahidi kufungua mahakama maalum ya mafisadi.Nakuomba kama kweli Lowassa ni fisadi kama watu waliokuwa wanakupigia kampeni walivyo tueleza anza naye umfikishe mahakamani.



Si busara kuendelea kumwita mzee huyu fisadi na mamlaka ya kumshitaki mnayo. Rais wangu Dr Magufuli najuwa wewe humtanguluza mungu kwa kila jambo. Kama Lowassa ni Fisadi kweli tunaomba anza naye ili apate heshima yake au heshima yake ipotee Nakumbuka uliposema Mafisadi wamekimbia CCM baada ya wewe kupata uteuzi.

Mhe.Rais anza na hao waliokimbia baada ya uteuzi wako, Si vema kuendelea kumwita mtu fisadi kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi paspo na ushaidi wowote.

Ushauri huu ungeupeleka UKAWA ambao kwa miaka 8 walizunguka eneo lote la Tanzania kudai Lowasa ni fisadi. Usisahau Kubenea mbunge mteule wa Chadema alikua mstari wa mbele kwa kutumia gazeti lake kumsiliba Lowasa kuwa ni fisadi. hata ile kamati ya Mwakyembe ilitumia nukuu za Kubenea kwenye ripoti yake. Bahati nzuri mashahidi wapo akina Mnyika, Lisu, n.k
 
Mzee mwanakijiji, naona mahaba yamekuzidi na ccm sasa, yaani uanataka kusema Magufuli hakusema lowasa ni fisadi, tena siyo huyo tu alisema hata sumaye ni fisadi.mzee punguza mahaba!

Magufuli aliyemuita EDo fisadi kwa miezi miwili ya kampeni na wanachadema waliomwita fisadi kwa miaka nane (8) nani zaidi?
 
Wewe umpangie ratiba ya kazi rais kama nani wewe ama unahisi urais ni ujingaujinga kama unaoufanya wewe na wanywa viroba wenzako? kaipangie familia yako siyo rais

Hajakosea lakin ameongea jambo la maana..kwan bro magu ni moja ya ahadi zake atadeal na mafisadi,sijapenda ulivyocoment...ni haki kabisa kudeal na mafisadi na tujue ukweli yupi fisadi na yupi siye
 
Wakati wa kampeni za uchaguzi zilizotawaliwa na kuchafuana na kutuhumiana tuliona sakata la Richmond lilivyoibuliwa upya na viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi waliokua mstari wa mbele ni dr. Harison Mwakyembe,.Samwel Sitta na wote walisema waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ni muhusika mkuu wa sakata la Richmond.

Sitta alienda mbali hata kuomba mdahalo ili kuuthibitishia umma,Mwakyembe nae alitumia muda mwingi wa kampeni kuzungumzia Richmond kuliko alivyofanya kampeni jimboni kwake

Mkuu wa nchi wa wakati huo yeye nae hakumung'unya maneno alisema wazi kuwa mwenye Richmond ni Lowassa na siku ya kufunga kampeni alitumia muda mwingi kuelezea sakata hilo.

My take
Sakata la Richmond limeifilisi nchi yetu kwa kiasi kikubwa sana mamilioni ya pesa yamepotea sasa kwa kuwa uongozi wa awamu ya nne umeshindwa kumshughulikia muhusika mkuu naomba Magufuli umshughulikie Lowassa.

Kwanza afikishwe mahakamani na akipatikana na hatia sheria ichukue mkondo wake.Kama hatopatikana na hatia iundwe tume huru ichunguze upya suala hili na muhusika apatikane

Kama haya hayatofanyika basi nitaamini Lowassa si muhusika mkuu.
 
Wakamatwe kwanza wale wenye kiwanda waliokuwa wanatengemeza ARV FAKE PALE MOSHI
 
Back
Top Bottom