Rais Magufuli mkumbuke Pascal Mayalla U-DC Ikungi

CC; Pascal Mayalla
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba hii ndiyo style mpya ya kugawana vyeo siyo..!!
 
Samahani umeandika lugha gani hii? Cha kushangaza unaweza kuwa miongoni mwa 'graduates' wa vile vyuo very vya kata, halafu tunajinasibu kutaka kuwa nchi ya viwanda!
 
Siyo kama bashite anayekuja na hoja za kijinga eti za walioumizwa kimapenzi. Inatusaidia nini sisi?
Kweli kabisa Mayalla amepambana sana kuliko hata Bashe ni muda wake na sisi wa JF tutoe angalau muwakilishi mmoja. Maana jimbo/wilaya ya Nzega imeshatoa waziri na naibu.
 
Mpk Pasco amelalamika leo kwny thread yake bundle za voda zimepanda bei na yeye hali yake ni tete.

Mkumbuke kwenye ufalme mzee baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…