Rais Magufuli mkumbuke Pascal Mayalla U-DC Ikungi

pascall mayalaa ni face id, mwenyewe hlsi ni jiwe
 
Kweli lakini kaka anastahili, ngoja nianze kampeni, makini sana huyu kaka...
 

Nyoka huwa hafundishwi Kung'ata.
 
Pascal anastahili Uongozi Serikalini hata kama siyo UDC.Jamaa yuko vzr.Na mm nampigia chapuo.
 
halahala uncle atakapotekeleza haya maoni ya JF, tusije sikia tena mara anapendelea kanda fulani mara ooohh unajua nk nk!!! Ni angalizo tu
 
Pascal hatateuliwa mpaka pale atakapoitisha mkutano wa vyombo vya habari na kuutangazia ulimwengu kuwa anamuunga mkono jiwe. Sote tumeona wale wanaokesha mitandaoni wakipostiposti wakisahaulika kabisa. Mkuu anapenda mambo ya LIVE zaidi, siyo haya ya kukaa nyumba ya keyboeard.

Wa kushauriwa hapa ni Pascal. Angalau aitishe press conference, amtukane mmojawapo wa wale wanaosemekana kumuujumu Mheshimiwa. Atukane kidoogo, hata vi-matusi vidogo vidogo mfano mjinga, fisadi, mla rushwa, nk.

Bila hivyo, Pascal hana lake. Ukuu wa wilaya siyo kazi ya kwenda kuandika makala, bali kazi ya kwenda kusema na kutukana na kuhujumu pale inapobidi.
 
Mayalla kapambana sana kuitetea hii serikali anafaa kwa kwelii....ila yale mazezeta ya lumumba yataendelea kupiga kelele..
 
Huyu si alikataaga nafasi nyeti ya kitengo kwa mujibu wake
ila uDC utamfaa mshkaji akapumzike sasa na mada zake tutazimiss
 
Mayalla kapambana sana kuitetea hii serikali anafaa kwa kwelii....ila yale mazezeta ya lumumba yataendelea kupiga kelele..
Pole sana, unajua kwa nini mwenyekiti wa CCM alitaka viroba vitokomezwe ? ni kwa kuwaokoa ufipa.

Tuje kwa Mayalla: nakubali michango yake hasa pale anaposimama na serikali yetu kuusema ukweli ambao wengine wanaupotosha, kutuhabarisha kwa habari zenye uhakika ila mengine ni matango pori. napenda pale anapokosoa kwa adabu, na pia namkubali zaidi kwa kumkubali na kukubali mzalendo namba moja Tanzania Rais Magufuli.

Kama akiteuliwa nitafurahi zaidi kwa sababu si mtu wa majivuno. Kaonesha uwezo mzuri katika kusimamia ukweli, kujenga hoja, kusimamia rasilimali za taifa.
 
Yote heri
 
Mnachekesha sana hii ni ID Pascal Mayalla anajitekenya mwenye na kucheka Pili kafundisha kitugani hapa zaidi ya upotoshaji mtupu juu ya ACACIA na BARICK achani uzushi wako fanyakazi acha tabia ya kushinda mitandani mkiposha jamii ili mpewe vyeo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…