technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,444
- 50,768
Mtakubaliana na Mimi kuwa rais wetu mwema Dr. Magufuli anakaribia kuvunja record kwa kuwa rais wa Africa aliyeshindwa na kuchokwa mapema zaidi !!
Maraisi wengi wa Africa ushindwa kuendesha nchi ipasavyo kuanzia miaka 2 mpaka 1 kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili kwa ofu na presha ya kushindwa uchaguzi unaofuata.
Uhuru Kenyatta amechemsha sana mwishoni mwa utawala wake kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili ambao ni miez 17 imebaki kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili!!!
Jacob Zuma huyu naye kachemsha vibaya na mwisho wake mahakama imemtia hatiani!!
Rais wa zambia vivyo hivyo na wengine wengi
Ila kwa upande wa maraisi walioshindwa mapema alikuwa Mohammed Morse ambaye alichukua nafasi ya Hussein Mubarak baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu lakin
Morse aliangukia pua baada ya kushindwa kujua njia bora za kuitawala misri!!
Wengine ambaye amechokwa kwa sasa ni rais wa Sudan kusini ndugu Salva Kill Ambaye ameshindwa kuleta muafaka na wapinzani wake hivyo inabidi aondoke au abaki afanye muafaka na wapinzani wake ambapo ni mapigano ni ya kikabila zaidi!!!
Narudi nyumbani!!!!!!
Rais magufuli alianza kushindwa pale tu alipotangaza baraza la mawaziri katika baraza lake kuna baadhi ya mawaziri ni mzigo kwa mjibu wa ccm wenyewe
Mfano
Magembe ni waziri mzigo by kinana na ndo kapewa wizara muhimu kwa ajiri ya kutengeneza pesa katika pato la taifa kupitia utalii.
Yaani unakuta waziri maneno mengi utendaji ziro angalizo magembe ataua sector ya utalii ndani ya mwaka mmoja tuu!!
Sitawataja wote lakini sekita hizi zitegemee maumivu!!
Kilimo kimekwisha
Viwanda ni ndoto
Yaani kama tu waziri wa viwanda amekosa sukari tu atawezaje kuleta mapinduzi ya viwanda??
Utumishi wa umma umekwisha
Hakuna sehemu ambapo wanakurupuka kama hii wizara!!
Wizara ya Sheria ni maumivu kwani katiba yetu pendwa huyu Mwakembe ataizika kwa kutafuta sifa kwa bwana mkubwa na maakama ya mafisadi ni ndoto za mchana kuwaukumu mafisadi wasumbufu wa nchi hii!!!
Wizara ya habari tegemeeni maumivu sana kwa waandishi wazalendo hasahasa watakao taka kuikosoa selikari ya Rais Magufuli!!
Natabiri Ufisadi utakaofanyika ndani ya utawala wa raisi magufuli utazikwa!!
Hivi kweli kama amekubali kuzika Lugumi,Escrow, Richmond, kigoda,buzwagi,melemeta mnategemea bado kuibuliwa kwa kashifa mpya katika utwala huu wa rais wetu mwema ??
Ni ndoto za mchana agekuwa kweli anataka kupambana na ufisadi dawa ni moja tu kufukua makaburi!!!
Kuwaondoa watu wote wanaotuumiwa kwa ufisadi kama Chenge kwenye mfumo wa utawala!!
Sasa kama anayetuumiwa kwa ufisadi leo hii anaongoza bunge ambalo linategemea kutunga sheria ya maakama ya mafisadi??
Arafu unakuja kusema uko serious? unapambana na ufisadi??
Nb : Natabiri
Tegemeeni taarifa za kupika kutoka taasisi zifuatazo!!
CAG Office,
Takukuru,
Tra,
Office ya taifa ya takwimu,
NGO zinazofanya utafiti kama twaweza
Ndo maana nasisitiza huyu ni rais aliyeshindwa kabla ya mwaka mmoja kuisha!! Magufuli umetuangusha watu wameshakata shauli wamechoka.
"Ila ujue Mimi ni sungura baki na hao "!!!