Rais Magufuli, Mimi ni Sungura, baki na hao

Maneno mengi ila Hakuna cha muhimu.

Kazi ya upinzani/ukawa ni kupinga kila kitu hongera kwa kutimiza wajibu wako.
Wajibu wake wa kupandisha sukari kutoka 2,000 mpaka 3,200 hata kabla mwaka wa uongozi haujaisha! Kweli mapopoma ni wengi
 
Mtakubaliana na Mimi kuwa rais wetu mwema Dr. Magufuli anakaribia kuvunja record kwa kuwa rais wa Africa aliyeshindwa na kuchokwa mapema zaidi !!

Maraisi wengi wa Africa ushindwa kuendesha nchi ipasavyo kuanzia miaka 2 mpaka 1 kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili kwa ofu na presha ya kushindwa uchaguzi unaofuata.

Uhuru Kenyatta amechemsha sana mwishoni mwa utawala wake kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili ambao ni miez 17 imebaki kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili!!!

Jacob Zuma huyu naye kachemsha vibaya na mwisho wake mahakama imemtia hatiani!!
Rais wa zambia vivyo hivyo na wengine wengi

Ila kwa upande wa maraisi walioshindwa mapema alikuwa Mohammed Morse ambaye alichukua nafasi ya Hussein Mubarak baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu lakin
Morse aliangukia pua baada ya kushindwa kujua njia bora za kuitawala misri!!

Wengine ambaye amechokwa kwa sasa ni rais wa Sudan kusini ndugu Salva Kill Ambaye ameshindwa kuleta muafaka na wapinzani wake hivyo inabidi aondoke au abaki afanye muafaka na wapinzani wake ambapo ni mapigano ni ya kikabila zaidi!!!

Narudi nyumbani!!!!!!
Rais magufuli alianza kushindwa pale tu alipotangaza baraza la mawaziri katika baraza lake kuna baadhi ya mawaziri ni mzigo kwa mjibu wa ccm wenyewe

Mfano
Magembe ni waziri mzigo by kinana na ndo kapewa wizara muhimu kwa ajiri ya kutengeneza pesa katika pato la taifa kupitia utalii.
Yaani unakuta waziri maneno mengi utendaji ziro angalizo magembe ataua sector ya utalii ndani ya mwaka mmoja tuu!!

Sitawataja wote lakini sekita hizi zitegemee maumivu!!
Kilimo kimekwisha
Viwanda ni ndoto
Yaani kama tu waziri wa viwanda amekosa sukari tu atawezaje kuleta mapinduzi ya viwanda??

Utumishi wa umma umekwisha
Hakuna sehemu ambapo wanakurupuka kama hii wizara!!

Wizara ya Sheria ni maumivu kwani katiba yetu pendwa huyu Mwakembe ataizika kwa kutafuta sifa kwa bwana mkubwa na maakama ya mafisadi ni ndoto za mchana kuwaukumu mafisadi wasumbufu wa nchi hii!!!

Wizara ya habari tegemeeni maumivu sana kwa waandishi wazarendo hasahasa watakao taka kuikosoa selikari ya Rais Magufuli!!
Natabiri Ufisadi utakaofanyika ndani ya utawala wa raisi magufuli utazikwa!!

Hivi kweli kama amekubali kuzika Lugumi,Escrow, Richmond, kigoda,buzwagi,melemeta mnategemea bado kuibuliwa kwa kashifa mpya katika utwala huu wa rais wetu mwema ??

Ni ndoto za mchana agekuwa kweli anataka kupambana na ufisadi dawa ni moja tu kufukua makaburi!!!
Kuwaondoa watu wote wanaotuumiwa kwa ufisadi kama Chenge kwenye mfumo wa utawala!!

Sasa kama anayetuumiwa kwa ufisadi leo hii anaongoza bunge ambalo linategemea kutunga sheria ya maakama ya mafisadi??
Arafu unakuja kusema uko silius unapambana na ufisadi??

Nb ;Natabiri
Tegemeeni taarifa za kupika kutoka taasisi zifuatazo!!

CAG Office,
Takukuru,
TRA,
Office ya taifa ya takwimu,
NGO zinazofanya utafiti kama twaweza

Ndo maana nasistiza huyu ni rais aliyeshindwa kabla ya mwaka mmoja kuisha!! Magufuli umetuangusha watu wameshakata shauli!!

"Ila ujue Mimi ni sungula baki na hao "!!!
HOSNI Mubarak
Mohammed MORSI
Salva KIIR

Majina yao tu huyajui then unataka kutuletea uchambuzi uchwara hapa na kujifanya guru wa siasa za dunia. By the way, ni kijiwe kipi cha kahawa ulisikia Morsi alishindwa kuwatawala Wamisri?
 
Nimesema kwamba, mihimili hiyo inajitegemea kila mmoja na huo ndio utaratibu, suala la kuweza kumtoa au kumuweka naibu spika wanajua wwnyewe, ila katiba inasema mihimili hiyo ni sawa na inajitegemea.
Na swala la mumtoa chenge wajuane wenyewe hivyo hivyo!
 
Mimi wasiwasi wangu ni kutokubali kung'oka madarakani kidemokrasia! I smell something
 
Mtakubaliana na Mimi kuwa rais wetu mwema Dr. Magufuli anakaribia kuvunja record kwa kuwa rais wa Africa aliyeshindwa na kuchokwa mapema zaidi !!

Maraisi wengi wa Africa ushindwa kuendesha nchi ipasavyo kuanzia miaka 2 mpaka 1 kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili kwa ofu na presha ya kushindwa uchaguzi unaofuata.

Uhuru Kenyatta amechemsha sana mwishoni mwa utawala wake kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili ambao ni miez 17 imebaki kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili!!!

Jacob Zuma huyu naye kachemsha vibaya na mwisho wake mahakama imemtia hatiani!!
Rais wa zambia vivyo hivyo na wengine wengi

Ila kwa upande wa maraisi walioshindwa mapema alikuwa Mohammed Morse ambaye alichukua nafasi ya Hussein Mubarak baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu lakin
Morse aliangukia pua baada ya kushindwa kujua njia bora za kuitawala misri!!

Wengine ambaye amechokwa kwa sasa ni rais wa Sudan kusini ndugu Salva Kill Ambaye ameshindwa kuleta muafaka na wapinzani wake hivyo inabidi aondoke au abaki afanye muafaka na wapinzani wake ambapo ni mapigano ni ya kikabila zaidi!!!

Narudi nyumbani!!!!!!
Rais magufuli alianza kushindwa pale tu alipotangaza baraza la mawaziri katika baraza lake kuna baadhi ya mawaziri ni mzigo kwa mjibu wa ccm wenyewe

Mfano
Magembe ni waziri mzigo by kinana na ndo kapewa wizara muhimu kwa ajiri ya kutengeneza pesa katika pato la taifa kupitia utalii.
Yaani unakuta waziri maneno mengi utendaji ziro angalizo magembe ataua sector ya utalii ndani ya mwaka mmoja tuu!!

Sitawataja wote lakini sekita hizi zitegemee maumivu!!
Kilimo kimekwisha
Viwanda ni ndoto
Yaani kama tu waziri wa viwanda amekosa sukari tu atawezaje kuleta mapinduzi ya viwanda??

Utumishi wa umma umekwisha
Hakuna sehemu ambapo wanakurupuka kama hii wizara!!

Wizara ya Sheria ni maumivu kwani katiba yetu pendwa huyu Mwakembe ataizika kwa kutafuta sifa kwa bwana mkubwa na maakama ya mafisadi ni ndoto za mchana kuwaukumu mafisadi wasumbufu wa nchi hii!!!

Wizara ya habari tegemeeni maumivu sana kwa waandishi wazarendo hasahasa watakao taka kuikosoa selikari ya Rais Magufuli!!
Natabiri Ufisadi utakaofanyika ndani ya utawala wa raisi magufuli utazikwa!!

Hivi kweli kama amekubali kuzika Lugumi,Escrow, Richmond, kigoda,buzwagi,melemeta mnategemea bado kuibuliwa kwa kashifa mpya katika utwala huu wa rais wetu mwema ??

Ni ndoto za mchana agekuwa kweli anataka kupambana na ufisadi dawa ni moja tu kufukua makaburi!!!
Kuwaondoa watu wote wanaotuumiwa kwa ufisadi kama Chenge kwenye mfumo wa utawala!!

Sasa kama anayetuumiwa kwa ufisadi leo hii anaongoza bunge ambalo linategemea kutunga sheria ya maakama ya mafisadi??
Arafu unakuja kusema uko silius unapambana na ufisadi??

Nb ;Natabiri
Tegemeeni taarifa za kupika kutoka taasisi zifuatazo!!

CAG Office,
Takukuru,
TRA,
Office ya taifa ya takwimu,
NGO zinazofanya utafiti kama twaweza

Ndo maana nasistiza huyu ni rais aliyeshindwa kabla ya mwaka mmoja kuisha!! Magufuli umetuangusha watu wameshakata shauli!!

"Ila ujue Mimi ni sungula baki na hao "!!!
POOR INFO POOR IDEALOGY
 
Ma
Mi sio nyumbu kama unavyo nifikiria!!
Kwangu Mimi lowassa sumaye kikwete mkapa chenge watabaki kuwa ni mafisadi mpaka naingia kabulini mi uwa sina upande fatilia post zang
Magu ana madhaifu yake ila kumuweka katika kundi la walioshindwa ni kujidanganya, hadi unapoona Nyumbu wamekosa hoja wamebaki kusubiri matukio ujue kuna kazi imefanyika.
 
Nisawa lakin uwezi fanikiwa kutawala ukiwa ndani ya magamba
 
Mtakubaliana na Mimi kuwa rais wetu mwema Dr. Magufuli anakaribia kuvunja record kwa kuwa rais wa Africa aliyeshindwa na kuchokwa mapema zaidi !!

Maraisi wengi wa Africa ushindwa kuendesha nchi ipasavyo kuanzia miaka 2 mpaka 1 kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili kwa ofu na presha ya kushindwa uchaguzi unaofuata.

Uhuru Kenyatta amechemsha sana mwishoni mwa utawala wake kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili ambao ni miez 17 imebaki kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili!!!

Jacob Zuma huyu naye kachemsha vibaya na mwisho wake mahakama imemtia hatiani!!
Rais wa zambia vivyo hivyo na wengine wengi

Ila kwa upande wa maraisi walioshindwa mapema alikuwa Mohammed Morse ambaye alichukua nafasi ya Hussein Mubarak baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu lakin
Morse aliangukia pua baada ya kushindwa kujua njia bora za kuitawala misri!!

Wengine ambaye amechokwa kwa sasa ni rais wa Sudan kusini ndugu Salva Kill Ambaye ameshindwa kuleta muafaka na wapinzani wake hivyo inabidi aondoke au abaki afanye muafaka na wapinzani wake ambapo ni mapigano ni ya kikabila zaidi!!!

Narudi nyumbani!!!!!!
Rais magufuli alianza kushindwa pale tu alipotangaza baraza la mawaziri katika baraza lake kuna baadhi ya mawaziri ni mzigo kwa mjibu wa ccm wenyewe

Mfano
Magembe ni waziri mzigo by kinana na ndo kapewa wizara muhimu kwa ajiri ya kutengeneza pesa katika pato la taifa kupitia utalii.
Yaani unakuta waziri maneno mengi utendaji ziro angalizo magembe ataua sector ya utalii ndani ya mwaka mmoja tuu!!

Sitawataja wote lakini sekita hizi zitegemee maumivu!!
Kilimo kimekwisha
Viwanda ni ndoto
Yaani kama tu waziri wa viwanda amekosa sukari tu atawezaje kuleta mapinduzi ya viwanda??

Utumishi wa umma umekwisha
Hakuna sehemu ambapo wanakurupuka kama hii wizara!!

Wizara ya Sheria ni maumivu kwani katiba yetu pendwa huyu Mwakembe ataizika kwa kutafuta sifa kwa bwana mkubwa na maakama ya mafisadi ni ndoto za mchana kuwaukumu mafisadi wasumbufu wa nchi hii!!!

Wizara ya habari tegemeeni maumivu sana kwa waandishi wazarendo hasahasa watakao taka kuikosoa selikari ya Rais Magufuli!!
Natabiri Ufisadi utakaofanyika ndani ya utawala wa raisi magufuli utazikwa!!

Hivi kweli kama amekubali kuzika Lugumi,Escrow, Richmond, kigoda,buzwagi,melemeta mnategemea bado kuibuliwa kwa kashifa mpya katika utwala huu wa rais wetu mwema ??

Ni ndoto za mchana agekuwa kweli anataka kupambana na ufisadi dawa ni moja tu kufukua makaburi!!!
Kuwaondoa watu wote wanaotuumiwa kwa ufisadi kama Chenge kwenye mfumo wa utawala!!

Sasa kama anayetuumiwa kwa ufisadi leo hii anaongoza bunge ambalo linategemea kutunga sheria ya maakama ya mafisadi??
Arafu unakuja kusema uko silius unapambana na ufisadi??

Nb ;Natabiri
Tegemeeni taarifa za kupika kutoka taasisi zifuatazo!!

CAG Office,
Takukuru,
TRA,
Office ya taifa ya takwimu,
NGO zinazofanya utafiti kama twaweza

Ndo maana nasistiza huyu ni rais aliyeshindwa kabla ya mwaka mmoja kuisha!! Magufuli umetuangusha watu wameshakata shauli!!

"Ila ujue Mimi ni sungula baki na hao "!!!
Umeeleweka Mkuu SUNGULA tungeshangaa sana kama ungekuwa unajiita SUNGURA halafu UBWABWAJE.... na UPINZANI uliochokwa kwa haraka zaidi ni upi?
 
Umeanza vizuri ila mwisho kabisa unaanza unafiki, unapomshauri Rais aingilie bunge kwa kumchomoa Chenge umejiuliza Chenge kaletwa na nani bungeni? Hii hoja yako inapingana kabisa na wenaodai demokrasia. Hili la Magembe kumbe reference ni Kinana na sio ukweli wenyewe, je unakubaliana na Kinana huyohuyo anayedai waliohama ccm ni makapi na mafisadi? Una uhakika kuwa Richmond, escrow, kigoda= kagoda, buzwagi na melemeta imezikwa na Rais huyu? Umejipa muda kwenye hoja hii na ulitaka kikanuni kashfa hizi zizungumzwe lini na je deadline yake tayar kiasi kwanba haziwezi kujadiliwa tena milele.
Wasaidie Watanzania kuwaambia sera za Rais na deadline zake na mpaka sasa kashindwa kutekeleza kipi kwa mujibu wa ilani yake/ chama chao. Umejipa jukumu la kuwa mtabiri zaid
Amejipambanua kuwa yeye anapambana na ufisadi, tulitegemea kuwa angekuwa wakwanza kufufua viporo vya ufisadi kama merereta, escrow, buzwagi n.k..... huko ni kushindwa.

Aliahidi ataongeza ajira, badala yake kasababisha ajira kupotea zaidi, kutokuwa na muono wa namna ya kukusanya kodi...... huko ni kushindwa.
 
Nimemuuliza swali mtoa mada kuhusu deadline ya kufufua hizo kesi ishapita ? Wewe naye unarudia kile ninachohoji, ulitegemea lini na kwa hoja zipi lazima ingekuwa muda huo uliotegemea wewe zifufuliwe? Ungesubiria hiyo mahakama yao ya ufisadi kama itakuwepo na majukumu yake ndio uje kusema hayo ya kushindwa
 
Nimesema kwamba, mihimili hiyo inajitegemea kila mmoja na huo ndio utaratibu, suala la kuweza kumtoa au kumuweka naibu spika wanajua wwnyewe, ila katiba inasema mihimili hiyo ni sawa na inajitegemea.
Kuona huoni hata kupapasa huwezi?!

Usawa gani na kujitegemea kupi?!

1. Serikali (Rais) ndiyo inateua majaji na hata huyo jaji mkuu;
2. Serikali ndiyo inazipa fedha za matumizi hizo mahakama pamoja na mishahara ya majaji;
3. Serikali inateua mawaziri kutokana na wabunge bila hata spika kuarifiwa;
4. Serikali ndiyo inatoa fedha za bunge kujiendesha.

Serikali ikisema haina fedha hiyo mihimili mingine kwishiney!!

Tuache kabisa kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa bunge na mahakama!! Bunge na mahakama ni vitendea kazi vya serikali!! Kwisha!!!
 
Mtakubaliana na Mimi kuwa rais wetu mwema Dr. Magufuli anakaribia kuvunja record kwa kuwa rais wa Africa aliyeshindwa na kuchokwa mapema zaidi !!

Maraisi wengi wa Africa ushindwa kuendesha nchi ipasavyo kuanzia miaka 2 mpaka 1 kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili kwa ofu na presha ya kushindwa uchaguzi unaofuata.

Uhuru Kenyatta amechemsha sana mwishoni mwa utawala wake kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili ambao ni miez 17 imebaki kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili!!!

Jacob Zuma huyu naye kachemsha vibaya na mwisho wake mahakama imemtia hatiani!!
Rais wa zambia vivyo hivyo na wengine wengi

Ila kwa upande wa maraisi walioshindwa mapema alikuwa Mohammed Morse ambaye alichukua nafasi ya Hussein Mubarak baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu lakin
Morse aliangukia pua baada ya kushindwa kujua njia bora za kuitawala misri!!

Wengine ambaye amechokwa kwa sasa ni rais wa Sudan kusini ndugu Salva Kill Ambaye ameshindwa kuleta muafaka na wapinzani wake hivyo inabidi aondoke au abaki afanye muafaka na wapinzani wake ambapo ni mapigano ni ya kikabila zaidi!!!

Narudi nyumbani!!!!!!
Rais magufuli alianza kushindwa pale tu alipotangaza baraza la mawaziri katika baraza lake kuna baadhi ya mawaziri ni mzigo kwa mjibu wa ccm wenyewe

Mfano
Magembe ni waziri mzigo by kinana na ndo kapewa wizara muhimu kwa ajiri ya kutengeneza pesa katika pato la taifa kupitia utalii.
Yaani unakuta waziri maneno mengi utendaji ziro angalizo magembe ataua sector ya utalii ndani ya mwaka mmoja tuu!!

Sitawataja wote lakini sekita hizi zitegemee maumivu!!
Kilimo kimekwisha
Viwanda ni ndoto
Yaani kama tu waziri wa viwanda amekosa sukari tu atawezaje kuleta mapinduzi ya viwanda??

Utumishi wa umma umekwisha
Hakuna sehemu ambapo wanakurupuka kama hii wizara!!

Wizara ya Sheria ni maumivu kwani katiba yetu pendwa huyu Mwakembe ataizika kwa kutafuta sifa kwa bwana mkubwa na maakama ya mafisadi ni ndoto za mchana kuwaukumu mafisadi wasumbufu wa nchi hii!!!

Wizara ya habari tegemeeni maumivu sana kwa waandishi wazarendo hasahasa watakao taka kuikosoa selikari ya Rais Magufuli!!
Natabiri Ufisadi utakaofanyika ndani ya utawala wa raisi magufuli utazikwa!!

Hivi kweli kama amekubali kuzika Lugumi,Escrow, Richmond, kigoda,buzwagi,melemeta mnategemea bado kuibuliwa kwa kashifa mpya katika utwala huu wa rais wetu mwema ??

Ni ndoto za mchana agekuwa kweli anataka kupambana na ufisadi dawa ni moja tu kufukua makaburi!!!
Kuwaondoa watu wote wanaotuumiwa kwa ufisadi kama Chenge kwenye mfumo wa utawala!!

Sasa kama anayetuumiwa kwa ufisadi leo hii anaongoza bunge ambalo linategemea kutunga sheria ya maakama ya mafisadi??
Arafu unakuja kusema uko silius unapambana na ufisadi??

Nb ;Natabiri
Tegemeeni taarifa za kupika kutoka taasisi zifuatazo!!

CAG Office,
Takukuru,
TRA,
Office ya taifa ya takwimu,
NGO zinazofanya utafiti kama twaweza

Ndo maana nasistiza huyu ni rais aliyeshindwa kabla ya mwaka mmoja kuisha!! Magufuli umetuangusha watu wameshakata shauli!!

"Ila ujue Mimi ni sungula baki na hao "!!!

Salva Kill ndio rais wa nchi gani?
Na Sungula Ni kitu gani?
Uandishi wako Ni ishara tosha ya kundi ulilopo
 
Muhimili wa bunge{parliament) na serikali(executive) ni mihimili miwili inayotakiwa kujitegemea, chenge yupo kwenye mhimili wa bunge hivyo rais ambaye ni mkuu wa muhimili wa serikali(excutive) hana mamlaka ya kumtoa chenge kwenye ofisi ya bunge kwa sababu rais hausiki na bunge.
Muswada hauwezi kuwa sheria bila Rais kusaini! Kama Muswada wa bunge ili uwe sheria Rais anshusika, atashindwaje KUMTUMBUA '' NYOKA WA MAKENGEZA ''?
 
JPM amechokwa mapema sana na mwendo kasi wake! kurupuka na ropoka style; busara hamna kabisa......nahisi atakuwa hashauriki au washauri wake wanamuogopa kumwambia ukweli....angalia Dr Mipango bado anakomaaa na VAT kwa transit na hali anaiona kuwa mbaya bandarini.....pia VAT kwa watalii bado anakomaaa anashindana mbio na kivuli chake...tusubiri....Mbunge wa jimbo la ikulu
 
Me hata sisemi ...
Sema tu mkuu usiposema hapa utasemea WAP??
Kuona huoni hata kupapasa huwezi?!

Usawa gani na kujitegemea kupi?!

1. Serikali (Rais) ndiyo inateua majaji na hata huyo jaji mkuu;
2. Serikali ndiyo inazipa fedha za matumizi hizo mahakama pamoja na mishahara ya majaji;
3. Serikali inateua mawaziri kutokana na wabunge bila hata spika kuarifiwa;
4. Serikali ndiyo inatoa fedha za bunge kujiendesha.

Serikali ikisema haina fedha hiyo mihimili mingine kwishiney!!

Tuache kabisa kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa bunge na mahakama!! Bunge na mahakama ni vitendea kazi vya serikali!! Kwisha!!!
 
Mtakubaliana na Mimi kuwa rais wetu mwema Dr. Magufuli anakaribia kuvunja record kwa kuwa rais wa Africa aliyeshindwa na kuchokwa mapema zaidi !!

Maraisi wengi wa Africa ushindwa kuendesha nchi ipasavyo kuanzia miaka 2 mpaka 1 kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili kwa ofu na presha ya kushindwa uchaguzi unaofuata.

Uhuru Kenyatta amechemsha sana mwishoni mwa utawala wake kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili ambao ni miez 17 imebaki kabla ya uchaguzi wa muhula wa pili!!!

Jacob Zuma huyu naye kachemsha vibaya na mwisho wake mahakama imemtia hatiani!!
Rais wa zambia vivyo hivyo na wengine wengi

Ila kwa upande wa maraisi walioshindwa mapema alikuwa Mohammed Morse ambaye alichukua nafasi ya Hussein Mubarak baada ya kukaa madarakani kwa muda mrefu lakin
Morse aliangukia pua baada ya kushindwa kujua njia bora za kuitawala misri!!

Wengine ambaye amechokwa kwa sasa ni rais wa Sudan kusini ndugu Salva Kill Ambaye ameshindwa kuleta muafaka na wapinzani wake hivyo inabidi aondoke au abaki afanye muafaka na wapinzani wake ambapo ni mapigano ni ya kikabila zaidi!!!

Narudi nyumbani!!!!!!
Rais magufuli alianza kushindwa pale tu alipotangaza baraza la mawaziri katika baraza lake kuna baadhi ya mawaziri ni mzigo kwa mjibu wa ccm wenyewe

Mfano
Magembe ni waziri mzigo by kinana na ndo kapewa wizara muhimu kwa ajiri ya kutengeneza pesa katika pato la taifa kupitia utalii.
Yaani unakuta waziri maneno mengi utendaji ziro angalizo magembe ataua sector ya utalii ndani ya mwaka mmoja tuu!!

Sitawataja wote lakini sekita hizi zitegemee maumivu!!
Kilimo kimekwisha
Viwanda ni ndoto
Yaani kama tu waziri wa viwanda amekosa sukari tu atawezaje kuleta mapinduzi ya viwanda??

Utumishi wa umma umekwisha
Hakuna sehemu ambapo wanakurupuka kama hii wizara!!

Wizara ya Sheria ni maumivu kwani katiba yetu pendwa huyu Mwakembe ataizika kwa kutafuta sifa kwa bwana mkubwa na maakama ya mafisadi ni ndoto za mchana kuwaukumu mafisadi wasumbufu wa nchi hii!!!

Wizara ya habari tegemeeni maumivu sana kwa waandishi wazarendo hasahasa watakao taka kuikosoa selikari ya Rais Magufuli!!
Natabiri Ufisadi utakaofanyika ndani ya utawala wa raisi magufuli utazikwa!!

Hivi kweli kama amekubali kuzika Lugumi,Escrow, Richmond, kigoda,buzwagi,melemeta mnategemea bado kuibuliwa kwa kashifa mpya katika utwala huu wa rais wetu mwema ??

Ni ndoto za mchana agekuwa kweli anataka kupambana na ufisadi dawa ni moja tu kufukua makaburi!!!
Kuwaondoa watu wote wanaotuumiwa kwa ufisadi kama Chenge kwenye mfumo wa utawala!!

Sasa kama anayetuumiwa kwa ufisadi leo hii anaongoza bunge ambalo linategemea kutunga sheria ya maakama ya mafisadi??
Arafu unakuja kusema uko silius unapambana na ufisadi??

Nb ;Natabiri
Tegemeeni taarifa za kupika kutoka taasisi zifuatazo!!

CAG Office,
Takukuru,
TRA,
Office ya taifa ya takwimu,
NGO zinazofanya utafiti kama twaweza

Ndo maana nasistiza huyu ni rais aliyeshindwa kabla ya mwaka mmoja kuisha!! Magufuli umetuangusha watu wameshakata shauli!!

"Ila ujue Mimi ni sungula baki na hao "!!!

Andrew Chenge nionavyo mimi ndiye ambaye angefaa kuwa spika wa Bunge.
Huyu mzee anauwezo sana japo anapenda kutafuta hela kwa mwendo kasi.
Lakini ni kiongozi anayejua nini anatakiwa afanye na kwa wakati gani!!
Ni kati ya viongozi wenye uwezo wa kuongoza.

CCM kwa sasa inataka kubaki na kundi la wapiga majungu wakati wenzao walikua wanatengeneza fursa za kupiga pesa.
 
Back
Top Bottom