mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Tutashuhudia vituko vingi, mpaka kujafika 2015!
Tutashuhudia vituko vingi, mpaka kujafika 2015!
Madikteta wengi huwa ni waoga asikwambie Mtu maana wanajua wakitoka kwenye hizo nafasi zao watakua kitoweo Cha Raia.Kama hatishiki kelele za nini majukwaani. Atulie dawa iingie vizuri
Huyu kiumbe kuna mahali kuna kasoro si bure
Mange anawayambisha kweli kweli....
Sio tusi, iko siku atamtia mtu bolt hadharani ndio tutajua anavyeti au lah.Haki ya Mungu tutashuhudia akimtia mtu tusi la nguoni, nyie subirini
Hahahahahahahaha tena baada ya mapinduzi shetani ndo atamteua awe msaidizi wake,kama nawaona malaika wakiitwa Popo kwenye vikao vya siriSizonje anaota asee. Yani anataka akifa pia Mungu ampe ukiranja awaongoze malaika? Si atapanga coup de tat ampindue sir God alafu binadamu tuishi kama mashetani
Hapa kweli tumepatikana, na huyu ndo baba wa familia.Mungu ampe nafasi ya kuwaongoza Malaika mbinguni.
Mzee Mwinyi alimaliza Marais woote waliopita hawakufanya chochote ila huyuUtaponda sana ila miradi mingi mikubwa imeanzishwa awam yake
Utanyooka wewe uliepinda,Mimi nimenyooka tangu kale na siitaji kunyooshwaa.Utanyooka tu!