Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,699
- 149,927
Gazeti la Nipashe la leo limebeba habari katika ukurasa wake wa mbele inayohusu kashifa kubwa za serikali zilizofanyika katika awamu iliyopita na zinazotajiwa kuibuliwa upya Bungeni wiki ijayo na wabunge wa upinzani.
Moja ya kashif hizo ni ile inayuhusu TANROADS iliyokuwa chini Magufuli kama waziri wa miundombinu wa wakati huo ambayo ilitolewa mwaka jana na mwenyekiti wa Bodi wa PPRA, Balozi Dk.Matern Lumbanga.
Nanukuu aya moja ya gazeti hili kuhusu kashifa ya TANROADS:
"Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA,Balozi Dk. Matern Lumbanga,aliwaambia waandishi wa habari kwamba ,mikataba 301 ya TANROADS yenye thamani ya sh trilioni 5.3 ilicheleweshewa malipo hivyo kusababisha malimbikizo ya riba ya sh bilioni 124.7 hadi Juni, mwaka jana na kuwapo malipo hewa ya sh 377 milioni."
Chanzo:Nipashe online.
Hivi hili jipu la TANROADS liliyokuwa chini ya Magufuli lina tofauti gani na haya majipu mengine?