Rais Magufuli kuwatema Wakuu 20 wa Mikoa nchini

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,488
Rais JPM amesema atawapumzisha wakuu wa mikoa 20 kutokana na utendaji usioridhisha hasa kushindwa kutatua migogoro ya ardhi.

Chanzo: Gazeti la Majira
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Raisi JPM amesema atawapumzisha wakuu wa mikoa 20 kutokana na utendaji usioridhisha hasa kushindwa kutatua migogoro ya ardhi.

Chanzo: Gazeti la Majira

Kuna yule RC; al maarufu kwa ushabiki wa kitchen parties akiachwa! JPM atakuwa ameitikisa imani yangu kwake kwa kiasi kikubwa!
 
Hasa RC wa Mwanza, Dar, Dodoma, MANYARA, MOROGORO, MTWARA, PWANI, TANGA, LINDI... IRINGA, SIMIYU, TABORA hawa ni majipu makubwa sana...

RC anayeongoza kwa sasa kwa UTENDAJI KAZI kwa sasa ni AMOS MAKALA wa Kilimanjaro... yuko very very serious... hana mchezo...
Akifuatiwa kwa karibu na RC wa Arusha...
 
Sidhani kama ma RC ndiyo chanzo cha migogoro ya ardhi.Waziri wa ardhi mh Lukuvi alisema hivi karibuni kuwa Serikali imechangia kwa kiasi kikubwa migogoro ya ardhi kwa kutoipima ardhi nchi nzima.Kama anawapumzisha labda kuna sababu nyingine.
 
SAWA SAWA Kabisa Mkuu, Maana Wengi Wamepata Hizo Nafasi Kwa Urafiki Wao Na Mtt Wa Aliyewateua Tu!!!!
 
Rais JPM amesema atawapumzisha wakuu wa mikoa 20 kutokana na utendaji usioridhisha hasa kushindwa kutatua migogoro ya ardhi.

Chanzo: Gazeti la Majira
kama tatizo mojawapo la kuwatupa nje ni Ardhi, kwa nini waziri wa Ardhi asiusike?
 
Anataka kuwaweka wale vijana 46, walioombewa hisani Na JK,
Awap jamaa alivyoukwaa tuu 6 akawatia ndani wengine ndo hawa akina Queen Esther na Lizaboni kazi kupaparika kama mwewe alieachwa na *****, hawajui wafanyaje kwa sasa uvccm sio lolote hawana cha kufanya kazi kulalamika wametengwa amebaki @vuta-nikuvute angalau alikua na misimamo ya kati kwani alilijua hili
 
Watanzania tuliambiwa serikali ya Rais Magufuli itahahakisha siri hazivuji,haya sasa siri imevuja kuhusu wakuu Wa Mikoa,ni nani anatoa siri?ni mmoja Wa watu walio karibu na Rais,hii inatuonyesha kuna mwanya umeanza kupasuka sasa tuone Rais atachukua hatua gani na asipofanya hivyo itakuwa ni dalili mbaya kabisa kwa utawala huu.
 
Hizo zinaweza kuwa njama za wakuu wa mikoa waliopo madarakani kupima upepo. Ni dhahiri JPM atakuwa anakusanya takwimu za watu wa kuteua lakini kusema atawatema idadi fulani itakuwa ni uzushi. Tusubiri tu, atateua tu.
 
Rais JPM amesema atawapumzisha wakuu wa mikoa 20 kutokana na utendaji usioridhisha hasa kushindwa kutatua migogoro ya ardhi.

Chanzo: Gazeti la Majira
Kuna tetesi kwamba katika orodha ya wakuu wa mikoa, mmoja ya waliobahatika kupendwa na Magufuli na atabakizwa katika orodha ni Magesa Mlongo nasikia Rais ameridhishwa na utendaji wake wa kazi
 
Back
Top Bottom