Rais Magufuli kuwa makini na kurudi kwa Wema, Masha na Mwapachu; si wema sana kwako

kimlas

Member
Oct 7, 2017
95
106
Rais Magufuli nipende kusema inapendeza kisiasa kuona watu wanakuja wakijijdai wanakuunga mkono. Watu ambao ni hatari ni wale wanaCCM walioondoka kwa mbwembwe kwa kukudhihaki na kusema una udikiteta lakini ghafla wanajidai kuunga mkono.

Watu wafuatao si wema kwako kaa nao kwa umakini; Wema Sepetu, Masha, Mwapachu na Mama Sofia Simba. Hawa kwa sasa wana Nape Nnauye kwa pamoja na Bernadi membe na wako kwenye mkakati wakuunganisha nguvu na Lowasa hivyo usijiachie ukawaamini eti kisa wanajidai kuipenda CCM.

Actually they are against you. Kukudhihirishia hilo angalia Steve Nyerere alivyomjibu Polepole kuwa polepole chama amekikuta hivyo asimuwekee vizingiti wema kurudi. Kauli ya Nyerere ya kusema kuna ambao walikipigania chama kuliko yeye usiione ni ya kawaida, nyuma yake ina msukumo wa watu ambao wengine ndo hao nimekuonesha.

Usiku mwema
 
Kumbuka alisema ng'ombe aliyekatwa mkia huwa anaonekana tofaut na wengine akiwa zizini . nazan anaelewa hayo yote
 
Kauli ya Nyerere ya kusema kuna ambao walikipigania chama kuliko yeye usiione ni ya kawaida, nyuma yake ina msukumo wa watu ambao wengine ndo hao nimekuonesha.
 
Rais Magufuli nipende kusema inapendeza kisiasa kuona watu wanakuja wakijijdai wanakuunga mkono. Watu ambao ni hatari ni wale wanaCCM walioondoka kwa mbwembwe kwa kukudhihaki na kusema una udikiteta lakini ghafla wanajidai kuunga mkono.

Watu wafuatao si wema kwako kaa nao kwa umakini; Wema Sepetu, Masha, Mwapachu na Mama Sofia Simba. Hawa kwa sasa wana Nape Nnauye kwa pamoja na Bernadi membe na wako kwenye mkakati wakuunganisha nguvu na Lowasa hivyo usijiachie ukawaamini eti kisa wanajidai kuipenda CCM.

Actually they are against you. Kukudhihirishia hilo angalia Steve Nyerere alivyomjibu Polepole kuwa polepole chama amekikuta hivyo asimuwekee vizingiti wema kurudi. Kauli ya Nyerere ya kusema kuna ambao walikipigania chama kuliko yeye usiione ni ya kawaida, nyuma yake ina msukumo wa watu ambao wengine ndo hao nimekuonesha.

Usiku mwema
Kamanda tulia kwanza dawa ikuingie.
 
Back
Top Bottom