MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania john magufuli tarehe 12/01/2017 ataongea na wananchi kupitia mkutano.
Mwaka wa pili huu sijamsikia akienda Maeneo mengine,ni Kanda ya kati,arusha,kanda ya ziwa.Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania john magufuli tarehe 12/01/2017 ataongea na wananchi kupitia mkutano.
Sawa tutamuuliza.....wamuulize maswali magumu kuwa anaipeleka wapi nchi yetu?
mdai viwanda alivyo haidi 2015.
mdai million 50 kila kijiji.
mdai mikopo ya elimu ya juu.
mdai madawa hospitalini.
mdai bei nzuri ya pamba
Msije hadaika kwa kusema madawati wakati madarasa bado ni shida
Hataenda Zanzibar? Kwani Siku ya Mapinduzi(wenyewe huita MATUKUFU) hatahudhuria?Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania john magufuli tarehe 12/01/2017 ataongea na wananchi kupitia mkutano.
Ajitahidi kuuwezesha Mfuko wa Maafa maana Dalili zote za kuwepo kwa njaa zipo wazi.
Mvua zimeanza kunyesha, kwenda shambani au tafuta chorus ingine.
Ehe tusubiri tuone kama hatokwenda Zenj?!!Hataenda Zanzibar? Kwani Siku ya Mapinduzi(wenyewe huita MATUKUFU) hatahudhuria?
Yuko kwenye kampeni.Anaenda kujibu mashambulizi ya Zitto.
Kama hujui hata kuandika kiswahili inaonyesha wewe ni mtu wa aina ganiwamuulize maswali magumu kuwa anaipeleka wapi nchi yetu?
mdai viwanda alivyo haidi 2015.
mdai million 50 kila kijiji.
mdai mikopo ya elimu ya juu.
mdai madawa hospitalini.
mdai bei nzuri ya pamba
Msije hadaika kwa kusema madawati wakati madarasa bado ni shida
Mapinduzi day?!!Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania john magufuli tarehe 12/01/2017 ataongea na wananchi kupitia mkutano.