Rais Magufuli kutowaongezea mshahara walimu, CWT waja juu

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
5,181
5,429
Rais kupitia kwa waziri wake Mh. Simbawachene amesema watumishi wasitegemee kupata nyongeza yoyote kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Amesema labda madaraja sawa ila hilo la nyongeza na increment hatafanya .
Hadi sasa viongozi wa chama C. W. T wanatafuta namna ya kumwendea wakamuulize baada ya waziri kudai maswali mengine yeye hana majibu ila raisi mwenyewe.
Raisi watumishi tumekukosea nini?.
4a06110b859245421d9913a3929f9751.jpg
c7f582bbf195590ebf0726a063d5b401.jpg
 
HAPA NI PALE INAPOBIDI USEME

...." EE BABA NAOMBA UNIEPUSHE NA KIKOMBE HIKI..."..... KAMA YAWEZEKANA LAKINI.

HALAFU BABA ANAKUCHUNIA HADI USEME YATOSHA............ ELOI ELOI LAMASABAKITAN.
 
Rais kupitia kwa waziri wake Mh. Simbawachene amesema watumishi wasitegemee kupata nyongeza yoyote kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Amesema labda madaraja sawa ila hilo la nyongeza na increment hatafanya .
Hadi sasa viongozi wa chama C. W. T wanatafuta namna ya kumwendea wakamuulize baada ya waziri kudai maswali mengine yeye hana majibu ila raisi mwenyewe.
Raisi watumishi tumekukosea nini?.
4a06110b859245421d9913a3929f9751.jpg
c7f582bbf195590ebf0726a063d5b401.jpg
mkuu jitahidi uache kula panya basi uwe unakula na tembele kidogo...maana hiyo ni taarifa ya kikao cha machi 2016........na ni kwa ajili ya 2016/17 sasa hivi tunaelekea 2017/18 ...kwa hiyo kama raisi ataongelea issue ni kwa ajili ya budget ya 2017/18
 
hapana jamani tusifurahie hili jambo, mgomo wa madaktari effect yake ni siku hiyo hiyo lakini walimu wakiamua kugoma kufundisha wakajishughulisha na mambo mengine effect yake ni kuanzia mwaka, miaka mi2 na kuendelea, angalia mfano mzuri tu mwaka jana kiwango cha elimu kilivyoshuka,
 
Back
Top Bottom