Rais Magufuli kumteua Naibu DG wa TISS kuwa Katibu Tawala: Jicho la pili...

Chahali na Mange 2015 walituambia tumchague JPM .
Mange alimtukana sana mzee Lowasa, Chahali kamuandika vibaya sana mzee Lowasa.
Chahali na Mange wana mchango mkubwa sana katika kushawishi watu wampigie kura JPM 2015.
Kinachotokea sasa mlikisababisha kwa 100% kama kibaya tuvumilie tu.

Na alilipwa na ccm kufanya kampeni njaa zinamsumbua huyu shushushsu wa makaratasi
 
Jana ilitolewa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa Rais John Magufuli amemteua "Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora." Hata hivyo, kwa makusudi, taarifa haikueleza kabla ya uteuzi huo, Makungu alikuwa na wadhifa gani, japo ilieleza kuwa anakwenda mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Dokta Thea Ntara ambaye amestaafu.

DbPH0EDWsAAbRse.jpg

"Kilichofichwa" kwenye taarifa hiyo ni ukweli kwamba Makungu alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (DDGIS) ambaye aliteuliwa wakati mmoja na Mkurugenzi Mkuu wa Idara hiyo, Dokta Modestus Kipilimba, Agosti mwaka jana.

Japo taarifa husika haikutumia neno "kutumbuliwa," lakini haihitaji ufahamu wa mfumo wa utawala wa Idara ya Usalama wa Taifa kumaizi kwamba kutoka u-Naibu Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo nyeti hadi u-Katibu Tawala wa Mkoa ni kushushwa cheo (demotion).

Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika ndani ya taasisi hiyo, kilichopelekea hatua hiyo inayoelezwa kuwa ngumu kwa Magufuli ni tofauti kati ya watendaji hao wakuu wa taasisi hiyo, yaani Makungu na aliyekuwa bosi wake, yaani Kipilimba.

Inaelezwa kuwa tofauti kati yao ilikuwa kubwa kiasi cha Kipilimba kutishia kujiuzulu iwapo Magufuli asingechukua hatua dhidi ya Makungu.

Hata hivyo, Makungu alikuwa "mtu wa Magufuli" kwa sababu ni wote wanatoka Kanda ya Ziwa, na ni miongoni mwa "circle ya karibu ya Magufuli" ambayo pamoja na watu wengine, inayojumuisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Katibu Mkuu wa Hazina Dotto James, na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga.

Kwahiyo wakati ingetarajiwa Magufuli "angemkumbatia poti wake Makungu" lakini kwa mujibu wa vyanzo vyangu, umuhimu wa Kipilimba kwa Magufuli ni mkubwa zaidi.

Tukio hilo ambalo halikuvuta hisia za wengi hasa kwa vile lilitokea muda mfupi baada ya kupatikana taarifa za kifo cha mlimbwende maarufu Agnes Masogange aliyefariki jijini Dar jana.
Japo wadhifa wa "Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa" (DDGIS) sio wa muda mrefu tangu uanzishwe (Makungu alikuwa mtu wa pili kushika wadhifa huo baada ya Jack Zoka kuwa wa kwanza), kitendo tu cha Mkurugenzi katika taasisi hiyo kutolewa na kupelekwa mkoani ni cha kushangaza na kinaingia moja kwa moja kwenye kumbukumbu za kihistoria.

Hata hivyo, kabla ya Makungu "kutumbuliwa" tayari kuna Mkurugenzi mwingine ambaye aliondolewa kwenye wadhifa wake kama nilivyoripoti kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter

Evarist Chahali

@Chahali

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Intelligence agency's Director of External Operations removed from her post. Sources indicate her pro-reform stance didn't sit well with anti-reform elements within the highly secretive organisation

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana wakati huo, kuondoka kwa mwanamama huyo kulichangiwa na mtazamo wake wa kutaka mabadiliko ndani ya taasisi hiyo ambao ulikinzana na wahafidhina wasiotaka mabadiliko yoyote kwa taasisi hiyo.

Wakati hayo yanatokea, Zoka, aliyekuwa Balozi wa Tanzania huko Canada nae alitolewa katika wadhifa huo hivi karibuni. Nilieleza kwa kirefu kuhusu tukio hilo katika makala HII

Kama ambavyo Zoka aliandamwa na lawama kwamba alikuwa akiongoza mkakati wa kuhujumu vyama vya upinzani, Makungu pia ametoka katika nafasi hiyo akikabiliwa na lawama kama hizo.

Kwa upande wangu binafsi kama afisa wa zamani katika taasisi hiyo, wakati fulani nililazimika kumwandikia barua Makungu kutokana na taarifa flani zilzonikera. Na katika barua hiyo nilimkumbusha kuwa cheo ni dhamana, na hakina mwamana.

Evarist Chahali

@Chahali

Huyu Robert nilimtumia barua Mei mwaka jana baada ya kusikia taarifa flani zilizonikera. Nikamweleza kuwa haya madaraka hayana mwamana. Ni vitu vya kupita. Sikujua kama karma was waiting to screw him. He's learning the hard way.

Hey Daudi Albert Bashite wanna learn something?

Tatizo kwa wenzetu wengi wanaposhika madaraka ni ile hali ya kujisahau wakidhani watafia wakiwa kwenye madaraka. Hupuuzia ukweli kuwa ipo siku watatoka katika nafasi zinazowapa jeuri na kujikuta "mtaani." Maisha hayatabiriki, leo unalala ukiwa DDGIS kesho unaamka ukiwa RAS.

SOMA "Barua Yangu Kwako Afisa Usalama wa Taifa Mzalendo"

Kuhusu iwapo hatua hiyo ya Magufuli kuwa na atahri zozote, kwa sasa ni mapema mno kubashiri. Baadhi ya maafisa waliopo kazini na wastaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa walidokeza kwamba taarifa hiyo ya kuondolewa kwa Makungu imewashtua wengi

Evarist Chahali

@Chahali

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] spoken to couple of current & ex-TISS guys and they all are shocked. It's exceedingly unprecedented for a DDGIS to be demoted to RAS.

Even more confusing is fact Makungu was a Magufuli main chap in TISS, with some regarding him as de-facto DGIS and Kipilimba a proxy

Kwa upande mwingine, wakati yote haya yanatokea, haijafahamika hali ikoje kwa "Idara ya Usalama wa Taifa nje ya Idara ya Usalama wa Taifa," yaani kile kikosi kilicho chini ya Daudi Alabert Bashite.

Kwamba Kipilimba ameweza kumn'goa "poti wa Magufuli" Makungu, basi huenda pia akawezesha kung'oka kwa Bashite, mtu anayeutia doa utawala wa Magufuli kwa kila hali.

Ni muhimu pia kujumuisha tweet ya mtu mmoja ambaye hujitambulisha kama Gavana wa zamani wa Benki Kuu, Daudi Balali.

Daudi T. Balali@daudibalali

Baada ya mvutano wa kimadaraka ndani ya Usalama wa Taifa, baadaye idara imegawanyika pande mbili na kudhoofu. Magufuli alielezwa wazi kwamba achague kijana wake (Msalika) aondoke na aadhibiwe au DG Kipilimba ajiuzulu. Kipilimba anaungwa mkono na jeshi na wakongwe idarani.

SOURCE: chahali.com
Yani chifu mpasuko mpaka sasa haujaisha najiuliza nn kitatoke make mpaka ngome kumetikisika nako kulikuwa nawatu makungu hasa bosi tuombe mungu
 
Hilo pia ni tatizo lako si langu. Ila kwa kukusaidia tu, kama naingia hapa Jamii Forums kwa jina langu halisi - sehemu ambayo takriban 99% mnajificha kwenye majina feki - kwanini nisumbuke kutumia akaunti bandia huko Twitter ambako pia nina akaunti yenye jina langu?

Labda kwa kukusaidia, jihangaishe kidogo kufahamu nilichokuwa nina-tweet tangu nijiunge na Twitter Februari 14, 2008. Fuatilia tweets zangu wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na 2015. Jihangaishe kunifahamu kabla ya kunihukumu. Sihitaji kujificha ilhali lengo langu ni kufikisha ujumbe kutoka KWANGU.

However, kuwa huru kuamini Chahali ndio Daudi Balali. Na hilo la "kuchanganyikiwa kama Mange" I hope hiyo litasaidia katika kufahamu ilipo hiyo Tsh 1.5 trillion Iliyofisadiwa.
Naona jamaa amekuumbua.. Uandishi wa Daudi Balali na Chahali ni ule ule.. Hasa choice of some words.. Patterns.. "Mood"..

Una kiraruraru sana we jamaa!
 
Jana ilitolewa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa Rais John Magufuli amemteua "Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora." Hata hivyo, kwa makusudi, taarifa haikueleza kabla ya uteuzi huo, Makungu alikuwa na wadhifa gani, japo ilieleza kuwa anakwenda mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Dokta Thea Ntara ambaye amestaafu.

DbPH0EDWsAAbRse.jpg

"Kilichofichwa" kwenye taarifa hiyo ni ukweli kwamba Makungu alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (DDGIS) ambaye aliteuliwa wakati mmoja na Mkurugenzi Mkuu wa Idara hiyo, Dokta Modestus Kipilimba, Agosti mwaka jana.

Japo taarifa husika haikutumia neno "kutumbuliwa," lakini haihitaji ufahamu wa mfumo wa utawala wa Idara ya Usalama wa Taifa kumaizi kwamba kutoka u-Naibu Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo nyeti hadi u-Katibu Tawala wa Mkoa ni kushushwa cheo (demotion).

Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya kuaminika ndani ya taasisi hiyo, kilichopelekea hatua hiyo inayoelezwa kuwa ngumu kwa Magufuli ni tofauti kati ya watendaji hao wakuu wa taasisi hiyo, yaani Makungu na aliyekuwa bosi wake, yaani Kipilimba.

Inaelezwa kuwa tofauti kati yao ilikuwa kubwa kiasi cha Kipilimba kutishia kujiuzulu iwapo Magufuli asingechukua hatua dhidi ya Makungu.

Hata hivyo, Makungu alikuwa "mtu wa Magufuli" kwa sababu ni wote wanatoka Kanda ya Ziwa, na ni miongoni mwa "circle ya karibu ya Magufuli" ambayo pamoja na watu wengine, inayojumuisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Katibu Mkuu wa Hazina Dotto James, na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga.

Kwahiyo wakati ingetarajiwa Magufuli "angemkumbatia poti wake Makungu" lakini kwa mujibu wa vyanzo vyangu, umuhimu wa Kipilimba kwa Magufuli ni mkubwa zaidi.

Tukio hilo ambalo halikuvuta hisia za wengi hasa kwa vile lilitokea muda mfupi baada ya kupatikana taarifa za kifo cha mlimbwende maarufu Agnes Masogange aliyefariki jijini Dar jana.
Japo wadhifa wa "Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa" (DDGIS) sio wa muda mrefu tangu uanzishwe (Makungu alikuwa mtu wa pili kushika wadhifa huo baada ya Jack Zoka kuwa wa kwanza), kitendo tu cha Mkurugenzi katika taasisi hiyo kutolewa na kupelekwa mkoani ni cha kushangaza na kinaingia moja kwa moja kwenye kumbukumbu za kihistoria.

Hata hivyo, kabla ya Makungu "kutumbuliwa" tayari kuna Mkurugenzi mwingine ambaye aliondolewa kwenye wadhifa wake kama nilivyoripoti kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter

Evarist Chahali

✔@Chahali

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] Intelligence agency's Director of External Operations removed from her post. Sources indicate her pro-reform stance didn't sit well with anti-reform elements within the highly secretive organisation

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana wakati huo, kuondoka kwa mwanamama huyo kulichangiwa na mtazamo wake wa kutaka mabadiliko ndani ya taasisi hiyo ambao ulikinzana na wahafidhina wasiotaka mabadiliko yoyote kwa taasisi hiyo.

Wakati hayo yanatokea, Zoka, aliyekuwa Balozi wa Tanzania huko Canada nae alitolewa katika wadhifa huo hivi karibuni. Nilieleza kwa kirefu kuhusu tukio hilo katika makala HII

Kama ambavyo Zoka aliandamwa na lawama kwamba alikuwa akiongoza mkakati wa kuhujumu vyama vya upinzani, Makungu pia ametoka katika nafasi hiyo akikabiliwa na lawama kama hizo.

Kwa upande wangu binafsi kama afisa wa zamani katika taasisi hiyo, wakati fulani nililazimika kumwandikia barua Makungu kutokana na taarifa flani zilzonikera. Na katika barua hiyo nilimkumbusha kuwa cheo ni dhamana, na hakina mwamana.

Evarist Chahali

✔@Chahali

Huyu Robert nilimtumia barua Mei mwaka jana baada ya kusikia taarifa flani zilizonikera. Nikamweleza kuwa haya madaraka hayana mwamana. Ni vitu vya kupita. Sikujua kama karma was waiting to screw him. He's learning the hard way.

Hey Daudi Albert Bashite wanna learn something?

Tatizo kwa wenzetu wengi wanaposhika madaraka ni ile hali ya kujisahau wakidhani watafia wakiwa kwenye madaraka. Hupuuzia ukweli kuwa ipo siku watatoka katika nafasi zinazowapa jeuri na kujikuta "mtaani." Maisha hayatabiriki, leo unalala ukiwa DDGIS kesho unaamka ukiwa RAS.

SOMA "Barua Yangu Kwako Afisa Usalama wa Taifa Mzalendo"

Kuhusu iwapo hatua hiyo ya Magufuli kuwa na atahri zozote, kwa sasa ni mapema mno kubashiri. Baadhi ya maafisa waliopo kazini na wastaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa walidokeza kwamba taarifa hiyo ya kuondolewa kwa Makungu imewashtua wengi

Evarist Chahali

✔@Chahali

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] spoken to couple of current & ex-TISS guys and they all are shocked. It's exceedingly unprecedented for a DDGIS to be demoted to RAS.

Even more confusing is fact Makungu was a Magufuli main chap in TISS, with some regarding him as de-facto DGIS and Kipilimba a proxy

Kwa upande mwingine, wakati yote haya yanatokea, haijafahamika hali ikoje kwa "Idara ya Usalama wa Taifa nje ya Idara ya Usalama wa Taifa," yaani kile kikosi kilicho chini ya Daudi Alabert Bashite.

Kwamba Kipilimba ameweza kumn'goa "poti wa Magufuli" Makungu, basi huenda pia akawezesha kung'oka kwa Bashite, mtu anayeutia doa utawala wa Magufuli kwa kila hali.

Ni muhimu pia kujumuisha tweet ya mtu mmoja ambaye hujitambulisha kama Gavana wa zamani wa Benki Kuu, Daudi Balali.

Daudi T. Balali@daudibalali

Baada ya mvutano wa kimadaraka ndani ya Usalama wa Taifa, baadaye idara imegawanyika pande mbili na kudhoofu. Magufuli alielezwa wazi kwamba achague kijana wake (Msalika) aondoke na aadhibiwe au DG Kipilimba ajiuzulu. Kipilimba anaungwa mkono na jeshi na wakongwe idarani.

SOURCE: chahali.com
TISS tayari angalau hatua zimechukuliwa, bado BUNGENI kwa Faru Ndugai na Mahakama kwa Faru Juma
 
Watanzania bwana ni watu wa ajabu sana, tatizo ni nini Kama Chahali na Balali wa twitter wakiwa ni mtu mmoja? Inatuongezea nini Au kutupunguzia nini Kama nchi?

Wengine mnasema mzushi sijui hafai, Kwani unahitaji akili kubwa kujua kuwa kuna ishu ndani ya TISS kwa hili la Deputy DG kuwa demoted? Whether chahali ni kiraza Au bado yupo TISS msingi wa thread upo palepale na huo ndio tulipaswa kuujadili
 
Nimeanza kutrain akili yangu isiwe inataka kujua mambo. Nimegundua maskini na wajinga wanaishi maisha ya starehe sana.
Najuta kwa nininaweza kuelewa Til1.5 ina thamani gani? Raia wanasonga tu na ugali mlenda na nyanya chungu
Wazungu wana msemo “The less you know the better”
 
Watanzania bwana ni watu wa ajabu sana, tatizo ni nini Kama Chahali na Balali wa twitter wakiwa ni mtu mmoja? Inatuongezea nini Au kutupunguzia nini Kama nchi?

Wengine mnasema mzushi sijui hafai, Kwani unahitaji akili kubwa kujua kuwa kuna ishu ndani ya TISS kwa hili la Deputy DG kuwa demoted? Whether chahali ni kiraza Au bado yupo TISS msingi wa thread upo palepale na huo ndio tulipaswa kuujadili
Absolutely
 
@chahali

Kwanza nikushukru kwa bandiko lako, nimejaribu kusoma kwa makini nione wapi ambapo umesema ukweli ninakutana na jambo la assumption to..

Ujuzi kidogo tu wa idara mhimu ungekufanya kuwa mwadilifu, na ungepewa no...(hata kama unavyosema ulistaafu, sijui ulistaafishwa)

Najizuia nisiseme makubwa ila nikukumbushe tu kuwa Neno uzalendo halina maana ya kuwa mwongo,

Nafikri kwa mtazamo wako unatamani kuwa na mgogoro na uvunjifu wa Aman, ambapo furaha yako itatimika.....

Ukwel ni huu, jifunze kuwa mzalendo na usiwe MZAWENDO,

Hii ni kwa taarifa tu kama unajua au haukui...

Watu wanaofanya kazi katika idara na kuwa ajiriwa huwa hawaachi hyo kazi maisha yao yote.... Hicho ni kiapo broo...
 
Tatizo watu wametibukwa akili wameacha hoja wamerukia viroja,naona watu wametoka chimbo kuja kutetea ni nzuri nasi tunapata hakika kuwa mambo huko kitengoni ni moto wala si ya kudharau.INGAWA bado ni mapema kupima mabadiliko haya kama ni hasi au chanya
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom