Rais Magufuli, kumteua mtu na kumpa hisia hasi hapohapo tena za kumdhalilisha utu kabla hajaanza hata kazi si sawa

Rais ni binadamu Kama sisi Kuna wakati anajisikia kutia maneno kwa lengo la kuharmonise Hali tu.

Hata waliolengwa na hiyo kauli wenyewe wanajua ule ulikua utani.
Napenda mnavyotumia majina aya sijui Magonjwamtambuka,Bia Yetu,Stroke nk...Mbona kuna watu wanatabia ya kumtania kwenye mitandao lakini waishia jera?
 
Tatizo letu ni ajira unafikiri ni kuendeleza njaa? mtu ata atukaniwe mama yake mzazi atachekele na kupiga makofi ili mradi anabaki kwenye ajira
So Jokate nae ana shida sana ya ajira? Au before U-DC alikuwa mganga njaa?
 
Haujawahi kufanya kibarua kwa wahindi vinginevyo ungejua madhara ya njaa na umasikini, humfanya mtu asijue utu wake.
 
Kiswahili ni lugha pana sana kumbe, hadi kushindwa kueleweka kirahisi namna hiyo!

Hapo hajasemwa Dc wala Das kwa ubaya, hao wamewasilisha kada ya wateule wote wenye makandokando kwa mfano tu, siyo kwamba wao ndiyo wagombeaji wa wanaume kama unavyolazimisha wewe.

Tatizo waTz tumezoea sana kauli za kinafiki.

Eti...'siasa haimtaji mtu hadharani'... ushakaririshwa, na nyakati zimebadilika sasa.

Huo ndiyo uozo na uzandiki tuliozoeshwa tangu enzi za Nyerere na limekuwa ni donda ndugu lililoitafuna jamii kwa miongo mingi.

Jamaa aliyetumbuliwa, hajachukuliwa hatua kwa kushitukizwa, alishaonywa hasikii, sasa wewe ulitaka apigiwe magoti?

Ifike wakati sasa, kada zote za wafanyakazi wa umma wafanye kazi kutokana na misingi ya maadili ya kazi zao na siyo kufanya ofisi za serikali vijiwe vya rushwa na uasherati.
 
Unfortunately jamii ishatoa hukumu long time ago kwamba Jokate no matter what she does,she will always be seen a golddiging politician!

Unfortunately!
 
Vipi na Mbowe kulewa hadi kuanguka akasingizia amevamiwa haikuwa udhalilishaji? Au iko nje ya mada? Ahahhahaha!
 
Vipi na Mbowe kulewa hadi kuanguka akasingizia amevamiwa haikuwa udhalilishaji? Au iko nje ya mada? Ahahhahaha!
Kuwa nje ya mada kunaweza kusababishwa na sababu nyingi.
Moja yaweza kuwa kutokujua unaongelea nini au ujinga tu kutawala akili yako. Sina hakika tatizo lako ni lipi hapo.
 
Mimi najua Rais wako alizungumza katika mazingira ya utani tu. Hakumaanisha hivyo
Kumekuwa na desturi humu ndani kila kitu cha ajabu anachozungumza Rais wapambe wake mnasema utani. Yeye kama mkuu wa nchi anatakiwa kupima sana kauli zake, hata kama anatania inabidi ajifunze kutafakari kabla hajaongea

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli anagombea wa wanaume jibu ndio kahaba au malaya
 
Kuwa nje ya mada kunaweza kusababishwa na sababu nyingi.
Moja yaweza kuwa kutokujua unaongelea nini au ujinga tu kutawala akili yako. Sina hakika tatizo lako ni lipi hapo.
Vijana wa Ufipa wa mitandaoni mnapenda kufikiri mna akili kweli kuzidi wengine. Ahahahahah!
 
Tunaye rais wa kienyeji zaidi duniani na hadi aondoke nchi itakuwa kama kilabu cha gongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…