Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Kwani wamefukuzwa kazi ama wamesimamishwa kazi? Kwa kawaida mtu akisimamishwa anaendelea kulipwa mshahara isipokuwa madaraka yake hayafanyi kazi
Umesema uliamini gazeti la Tanzania Daima lakini hapa umesema mtu akisimamishwa kazi ni lazima alipwe. Tukuelewe kwa lipi?