technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,848
- Thread starter
- #21
Unapo msimamisha mtu kazi unatakiwa hiyo nafasi iwe wazi mpaka umalize uchunguzi !!Hivi hujui tofauti kati ya kufukuzwa na kusimamishwa kazi? Lazima walipwe stahiki zao maana umewatuhumu tu na hujathibitisha
Sasa unapomsimamsha alafu unaleta mtu mwingine wote unawalipa mamilioni alafu unasema unabana matumizi ni upuuzi wa hali ya juu!!!