Rais Magufuli: Korosho ikishindikana tutagawana ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake

CRDB Chato nisikiavyo tellers wanashinda waki angalia instagram. Kwasiku kila mmoja anahudumia takriban wateja watano.
Yaani huyu mzee anafikiria wafanyabiashara wanatapanya pesa zao kama yeye anavyofanya au alikuwa akiona uchungu wakina papa ng'ombe mtoto ya ndama, kina balabuu sijui nani nani watatoa pesa wengine wanarusha pesa maana kuna sehemu mmoja nilikuwa nimeenda na classmate wangu mdada. Sasa huyo pedeshee akarusha nadhani ilikuwa ni milion 5 pesa juu hao wadada wakaanza kuzipigania. Mimi nikanyagwa kidole kidogo kikatike.

Jiwe aelewe watu hawatoi pesa yao holela holela wakitoa basi ujue atazirudushaje. Anataka kutumia mbinu ya Hitler huku akiwa hajui kwamba nyakati zishabadilika. Watu wana pesa zao nyumbani kwao wameziweka kama mimi nikipata mshahara natoa nusu naweka ndani.

Jiwe ajifunze hekima sio amri amri maana sisi watz tunakuangalia huku tukijua utaenda kuangukia pua wapi alafu tuanakucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano Na Uchukuzi anasema Rais kawafundisha Na wameelewa Makosa yaliyopelekea ATC ikafa Na wameahidi haitokufa Tena Kutokana Na Elimu waliyopewa Na Rais

Nimeishia kucheka badala ya wataalam wa Biashara hasa Biashara ya usafiri wa Anga kuwapa Somo watu wa Serikal kuhusu namna ya kuendesha Biashara hiyo wao ndio wanasema Rais kawafundisha

Bongo bana
 
Bado ule uwanja wa kimataifa. Itakuwa inatua Air Tz tu, tena ikiwa na abiria wasiozidi kumi. Ubinafsi utatutafuna
Si angejenga huo uwanja hapa Moshi, Soweto Maana ndege ndogo ndogo zinatua na watalii kisha wanapanda magari kwenda Kilimanjaro mlimani kisha na yeye anajipatia ma dollar. Ila akili ni nyele mwenzetu ana uwalaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe ana mpango wa kuipatia Chattle hadhi ya Jiji kabla hajaondoka Magogoni. Mishipa ya aibu ilishakatika kitambo sana
Kadinali Pengo ameshajenga Dayosisi ya Chato, kutakuwa na Askofu si muda mrefu. Kadinali ni mwenzetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasikia makondakta na mwenzake wamezitafuna angani zote

Hili jaribio jiwe limefail angeacha watu wapige biashara ye achukue kodi
 


A huge DISGRACE to our beloved Nation, not fit to lead anything under the sun.

View attachment 1029921
Ule muda wa kuanza kugawana Korosho umefika ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake. Tusije acha zikaharibika na kuota. Tumekosa Noah moja moja, tumekosa Balimi moja moja kwenye makinikia yalipo bandarini tokea 2017 licha kelele kibao za kishikilia uchumba/unyumba. Tusirudie makosa kwenye korosho wakati tunaziona kabisa. Ni muda wa kukomaa kila mtu apate walau kibaba.
Kwa sasa tumekosa fedha za kigeni kutokana na zao hili muhimu sababu ya Jiwe kutumia Jeshi kwenye biashara kutisha watu.
View attachment 1029925
Bad enough serikali hii ya Jiwe inaitangazia dunia kuwa korosho walizonunua kwa wakulima wa Tanzania hazina ubora. Hivi hii akili au matope?
View attachment 1029929
Ni mara 1000 tugawane tu hizo koro show nikakaange tu maskani na washikaji.
View attachment 1029944
 
Back
Top Bottom