Rais Magufuli: Korosho ikishindikana tutagawana ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake

Mh Rais kasema wapi tutagawana korosho? Mods, futeni huu uzi plz..!!
 
Acheni ubishi. Alitamka yeye mwenyewe novemba 17 2018 nitapandisha video soon. Acheni kutetea uovu

You are very -ve to the point i think you always pray for failure of this country or CCM, i am softly telling you the deep deep truth, utafeli ww vibaya and the country will go on in better direction if not the best..!! Fanya vitu vingine ujitafutie maendeleo yako, familia yako na jamii yako, stop wasting ur time & energy kuombea kufeli kwa nchi na watu wake including CCM, hutaweza milele na milele daima..!!
 
Jana nimemsikia Waziri wa Mawasiliano Na Uchukuzi anasema Rais kawafundisha Na wameelewa Makosa yaliyopelekea ATC ikafa Na wameahidi haitokufa Tena Kutokana Na Elimu waliyopewa Na Rais

Nimeishia kucheka badala ya wataalam wa Biashara hasa Biashara ya usafiri wa Anga kuwapa Somo watu wa Serikal kuhusu namna ya kuendesha Biashara hiyo wao ndio wanasema Rais kawafundisha

Bongo bana

Kuna vitu vinafanywa na serikali hii vingekuwa ni comedy ingekuwa na kiwango cha Oscar. Unfortunately vinafanywa in reality.
 
View attachment 1029921
Ule muda wa kuanza kugawana Korosho umefika ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake. Tusije acha zikaharibika na kuota. Tumekosa Noah moja moja, tumekosa Balimi moja moja kwenye makinikia yalipo bandarini tokea 2017 licha kelele kibao za kishikilia uchumba/unyumba. Tusirudie makosa kwenye korosho wakati tunaziona kabisa. Ni muda wa kukomaa kila mtu apate walau kibaba.
Kwa sasa tumekosa fedha za kigeni kutokana na zao hili muhimu sababu ya Jiwe kutumia Jeshi kwenye biashara kutisha watu.
View attachment 1029925
Bad enough serikali hii ya Jiwe inaitangazia dunia kuwa korosho walizonunua kwa wakulima wa Tanzania hazina ubora. Hivi hii akili au matope?
View attachment 1029929
Ni mara 1000 tugawane tu hizo koro show nikakaange tu maskani na washikaji.
View attachment 1029944
PUMBAAV! Wazushi na watu wa masihara kama wewe mnatakiwa mfungwe jela kulingana na Sheria ya maudhui mitandaoni.
 
Jiwe alipaswa aelewe kuwa biashara haiwezi ana akili ndogo kwenye biashara. Mfanyabiashara anaangalia faida na wapi awekeze sio kwa matakwa ya Jiwe. Tunakumbuka baada ya kulazimisha tawi la CRDB lijengwe Chato Kimei aliulizwa na wenye CRDB yao vip tena ukapeleka tawi Chato kinyume na utaratibu. Kimei akatoa kauli moja kwamba,"tumeanzisha tawi Chato kwa utafiti alioufanye Rais"

Sasa mambo yake ya kulazimisha mambo tena kwenye biashara za watu haya ndio madhara yake. Atambue kabisa biashara hana ABC kabisa akae pembeni asimamamie sera na sheria

Sent using Jamii Forums mobile app

Unfortunately, hata kusimamia sera hawezi maana kwa kuanzia ni mambo ya sera ni mageni kwake.
 
You are very -ve to the point i think you always pray for failure of this country or CCM, i am softly telling you the deep deep truth, utafeli ww vibaya and the country will go on in better direction if not the best..!! Fanya vitu vingine ujitafutie maendeleo yako, familia yako na jamii yako, stop wasting ur time & energy kuombea kufeli kwa nchi na watu wake including CCM, hutaweza milele na milele daima..!!
We ni wa kupuuzwa tu. Halafu kingereza hujui. Afadhali hata ya Nyani Ngabu huwa anajitahidi. Ila wewe bado sana pia ni mshamba
 
Back
Top Bottom