Rais Magufuli: Korosho ikishindikana tutagawana ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
869
1,000
"Nitawapigia simu Marais marafiki zangu halafu tutauza korosho na tutakuwa tumewakomesha kangomba" JPM

1550772595919.png

Ule muda wa kuanza kugawana Korosho umefika ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake. Tusije acha zikaharibika na kuota(see attached photo above). Tumekosa Noah moja moja, tumekosa Balimi moja moja kwenye makinikia yalipo bandarini tokea 2017 licha ya kelele kibao za kishikilia uchumba/unyumba. Tusirudie makosa kwenye korosho wakati tunaziona kabisa. Ni muda wa kukomaa kila mtu apate walau kibaba.
Kwa sasa tumekosa fedha za kigeni kutokana na zao hili muhimu sababu ya Jiwe kutumia Jeshi kwenye biashara kutisha watu.
_104276384_gettyimages-952547818.jpg

Bad enough serikali hii ya Jiwe inaitangazia dunia kuwa korosho walizonunua kwa wakulima wa Tanzania hazina ubora. Hivi hii akili au matope?
1548921362514.png

Ni mara 1000 tugawane tu hizo koro show nikakaange tu maskani na washikaji.
FB_IMG_1550909861066.jpg
 
Attachments

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
View attachment 1029921
Ule muda wa kuanza kugawana Korosho umefika ili walau kila mtu akakaange nyumbani kwake umefika. Tusije acha zikaharibika na kuota. Tumekosa Noah moja moja, tumekosa Balimi moja moja kwenye makinikia yalipo bandarini tokea 2017 licha kelele kibao za kishikilia uchumba/unyumba. Tusirudie makosa kwenye korosho wakati tunaziona kabisa. Ni muda wa kukomaa kila mtu apate walau kibaba.
Kwa sasa tumekosa fedha za kigeni kutokana na zao hili muhimu sababu ya Jiwe kutumia Jeshi kwenye biashara kutisha watu.
View attachment 1029925
Bad enough serikali hii ya Jiwe inaitangazia dunia kuwa korosho walizonunua kwa wakulima wa Tanzania hazina ubora. Hivi hii akili au matope?
View attachment 1029929
Ni mara 1000 tugawane tu hizo koro show nikakaange tu maskani na washikaji.
View attachment 1029944
Sijui na mwaka huu atakuwa na hamu ya kutumia jeshi?, kazi kuu ya jeshi ni kufanya uharibifu, kuua, kujeruhi n.k., toka lini wanajeshi wakafanya biashara
 
Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,770
2,000
Jiwe alipaswa aelewe kuwa biashara haiwezi ana akili ndogo kwenye biashara. Mfanyabiashara anaangalia faida na wapi awekeze sio kwa matakwa ya Jiwe. Tunakumbuka baada ya kulazimisha tawi la CRDB lijengwe Chato Kimei aliulizwa na wenye CRDB yao vip tena ukapeleka tawi Chato kinyume na utaratibu. Kimei akatoa kauli moja kwamba,"tumeanzisha tawi Chato kwa utafiti alioufanye Rais"

Sasa mambo yake ya kulazimisha mambo tena kwenye biashara za watu haya ndio madhara yake. Atambue kabisa biashara hana ABC kabisa akae pembeni asimamamie sera na sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,452

CRDB Chato nisikiavyo tellers wanashinda waki angalia instagram. Kwasiku kila mmoja anahudumia takriban wateja watano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom