Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Ni kweli kwa ukubwa wa Rwanda nategemea wangekua na maendeleo zaidi ya hapo walipo.Ukizungumzia maendeleo ya Rwanda na Tanzania nakushangaa sana,Rwanda ina ukubwa wa kolometa za mraba sawa na mkoa wa Arusha! Hata angepewa mkulima wa tangawizi angeweza kuleta maendeleo Rwanda with good policy
Ukizungumzia maendeleo ya Rwanda na Tanzania nakushangaa sana,Rwanda ina ukubwa wa kolometa za mraba sawa na mkoa wa Arusha! Hata angepewa mkulima wa tangawizi angeweza kuleta maendeleo Rwanda with good policy
hapo ndo ujinga wetu unaanzia,hivi ujerumani na urusi ipi nchi kubwa alafu nani anamzidi mwenzie kiuchumi na siasa bora?hizi ndio akili ndogo ambazo ni mtaji mkubwa wa ccm,wewe unasema kanchi kadogo je kwa rasilimali kiasi gani kuwa tosheleza wananchi wapale,wewe kwa bandari tu ya Dar unaendesha nchi hii lakini bado kunawatu wanaishi kwa mlo mmoja, Mungu katupeni madini,gas na kila thamani ya hapa duniani !!je tumefika wapi??Ukizungumzia maendeleo ya Rwanda na Tanzania nakushangaa sana,Rwanda ina ukubwa wa kolometa za mraba sawa na mkoa wa Arusha! Hata angepewa mkulima wa tangawizi angeweza kuleta maendeleo Rwanda with good policy
hapo ndo ujinga wetu unaanzia,hivi ujerumani na urusi ipi nchi kubwa alafu nani anamzidi mwenzie kiuchumi na siasa bora?hizi ndio akili ndogo ambazo ni mtaji mkubwa wa ccm,wewe unasema kanchi kadogo je kwa rasilimali kiasi gani kuwa tosheleza wananchi wapale,wewe kwa bandari tu ya Dar unaendesha nchi hii lakini bado Mungu katupeni madini,gas na kila thamani ya hapa duniani je tumefika wapi??
umeongea pumba,hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya maendeleo na ukubwa au udogo wa nchiUkizungumzia maendeleo ya Rwanda na Tanzania nakushangaa sana,Rwanda ina ukubwa wa kolometa za mraba sawa na mkoa wa Arusha! Hata angepewa mkulima wa tangawizi angeweza kuleta maendeleo Rwanda with good policy
Ni jambo la kutafakari juu ya urafiki kati ya Magufuli na Kagame. Binafsi nimependezwa sana na maendeleo ambayo Kagame ameiletea Rwanda, lakini niko macho sana na gharama ambayo Rwanda wamelipa ili kupata maendeleo hayo, hasa ukiangalia tuhuma nyingi na nyingine nzito dhidi ya uongozi wa Kagame nchini Rwanda. Mambo wanayokabili wana harakati na wanasiasa wa upinzani nchini Rwanda , kutia ndani na wale wenye mtazamo tofauti na Kagame, yako wazi kwa kila mtu. Ni kama Kagame amekuwa akiongoza Rwanda kwa philosophy kwamba "the end justifies the means". Labda kweli, maana kuna wakati Waziri Mkuu mmoja wa Uingereza aliwahi kusema kitu kama democracy is government of the people, by the people, for the people, but national development is most efficient when the people shut up and let their democratically elected (and appointed) leaders do their job.
Hivyo suala la kujiuliza ni kama Tanzania tunaelekea njia waliyoipitia Rwanda ili kupata maendeleo ya kujivunia waliyo nayo sasa. Ni maendeleo makubwa wameyapata, lakini gharama yake katika nyanja za demokrasia na haki za binadamu zimekuwa kubwa pia, kama tunavyotaarifiwa katika vyombo vya habari.
Sasa swali la kujiuliza ni kwamba, Magufuli naye anataka kujifunza kwa Kagame kwamba "the end justifies the means", kwamba the end we want ni Tanzania iliyoendelea sana, na ole wako utakaeonekana hauko nasi katika nia hiyo?
Wengine hata wanatoa mfano wa Libya; maendeleo yao chini ya Ghadafi mwenye kudhibiti democracy, na matokeo ya kumwondoa Ghadafi ili kuwa na demokrasi. Hivyo utaulizwa uchague; unataka demokrasi na umasikini na ufisadi au demokrasi iliyodhibitiwa na maendeleo bila ufisadi? Tunaambiwa Afrika tuna machaguo hayo mawili tu; kwamba Afrika Kusini ni mfano mzuri wa demokrasi na ufisadi unaokua kwa kasi. Sijui kama Botswana wamefanikiwa kuwa na demokrasi huru na maendeleo.
Labda kwa hali ya uozo Tanzania tuliyokuwa tumefikia, hicho ndicho tunahitaji, angalau kwa miaka kumi ijayo, unorthodox democracy justified by the end.
kunamaswali machache naweza kukuuliza kuhusu Gadaf na Libya,hivi pale kati ya Gadafi nani alikuwa na maisha mazuri??je kama ungekuwa mwananchi wa Gadafi ungekubali miaka nenda rudi ushi maisha average wewe na kizazi chako waki mfalme nafamilia yake wanatanua kwenye kasri lililo jaa dhahabu??
Serikali yoyote iliokatika mfumo wa kidemokrasia kama SouthAfrica nirahisi sana kwa mambo yaliyo na ukakasi kuchukuliwa hatua na pengine kuhojiwa na kutolewa ufafanuzi na mamlaka husika..!!
ndohapo sasa mimi napo pishana na watawala wa namna hii,kwahiyo kwa wasomi wote pale libya hakuna aliekuwa anawzakustabilize haliya kiuchumi ya Libya zaidi ya Gaddafi na wanae??binafsi sitamani nchi ya namna hiyoMkuu, Libya ya Ghadaffi kwa mwananchi wa kawaida ilikuwa hakuna mfano wake. Ghadafi alichokataa kabisa ni wananchi wake kujiingiza mambo ya siasa na kumwingilia, lakini upande wa huduma za jamii zilikuwa hakuna tena, labda nchi iliyoikaribia Libya ilikuwa ni Norway tu. Wananchi walipata huduma karibu zote bure; elimu, afya nk. Ghadafi alifikia hatua kwamba unapooa unapewa allowance na serkali ya kuanzia maisha!
Ila alitaka siasa au kuhoji sijui anaendeshaje nchi usiguse kabisa huko, wewe faidi huduma za bure za serikali na ukae kimya. Ilikuwa ukijifanya wewe mwanaharakati wakati wa Ghadafi utaishia pabaya na kuminywa sana. Wamarekani wakasema mwongo huyooo, anawanyima demokrasia - mambo yale ya Adamu na Hawa n Ibilisi dhidi ya Mwenyezi Mungu!
Kiongozi anaweza kutimiza wajibu wake kwa kazi aliyoomba bila kuminya demokrasia na akatumia tuu sheria na katiba kudhibiti mambo na kila kitu kikaenda sawa.
Madhara ya udikteta pamoja na hata ulete maendeleo ni kuligawa taifa na wewe mwenyewe kuishia pabaya kama Gadaffi.
Mbona Jerry Rwalling wa Ghana aliendesha nchi kwa mkono wa chuma lakini akiheshimu katiba na utawala wa sheria na kufanikiwa sana na sasa anaishi kwa uhuru na raha hata super market au sokoni anaweza kwenda bila hofu?
Tunahitaji kiongozi mkali katika uwajibikaji,mbunifu, anayeshaurika lakini anayeheshimu katiba na utawala wa sheria ili hata akitoka tuendelee kumheshimu na kumpenda na kuwa mfano kwa anayenfuatia
ndohapo sasa mimi napo pishana na watawala wa namna hii,kwahiyo kwa wasomi wote pale libya hakuna aliekuwa anawzakustabilize haliya kiuchumi ya Libya zaidi ya Gaddafi na wanae??binafsi sitamani nchi ya namna hiyo
- Pia Rwanda wameiba sana Congo na kuzitumia pesa za wizi kufanya maendeleo.
- Binafsi sijawahi kuona hata kiberiti au toothpick kutoka rwanda