Rais Magufuli is very strategic

Ametoa watumishi hewa 17,000 na ameajiri hewa 5000! Unaangalia vitu ving vdogovdogo wakati kuna kimoja kinaua vyote, AJIRA KWA VIJANA,ANALUNDIKA WATU MTAAN ANATA WAFANYE KAZI JE WAIBE? Wengne kawasitishia ajira zao miez 5 sasa unafkr hata wanaona hayo mazuri ake? Wanafunzi wamekosa mikopo je wanafaida gani na ndege au kuhamia dodoma? Kufanya tathmn kwa kuangalia upande mmoja ni ufala!
 
Crap of the highest order!
 

Wanaompinga JPM wanasababu za kikabila zaidi sio utaifa

Washindwe na walegee
 
Mkuu,swala la bukoba Rais na safu yake amelihandle vzr sana.Lilikuwa la kitaifa na la kimataifa.

Mpaka lilitumbua DED na RAS.

Rais siyo wa mchezo mchezo.

Ajira zitamwagika kama njugu.
Iyo nyimbo ya frofesa j ajira zitamwagika kama njugu mabomba ya tatoa maziwa na maji kila baa median atamiliki benzi
 
We umekosa kazi yakufanya sema rais wako nasio rais wa watu... Mbn ela za waanga watetemeko hujasema alizikwapua
 
Naunga mkono hoja, JPM is very strategic, hasa jinsi alivyofanikiwa "kurara mbere" na wale waliochelewesha hela za mikopo ya wanafunzi wa vyuo vikuu kama alivyoahidi kipindi cha kampeni. Hii naisema kutoka katika "dhati ya moyo wangu" (In Jumaa Pumbaa Maharagee Voice)
 
Mwanaume anapiga kazi sana sema hawa wanaojiita wapinzani hawana akili walikuwa anapinga ufisadi saa hizi huwezi ckia wakiliongelia coz wamemkumbatia aliyekuwa fisadi sasa hiv wanaleta polojo zisizokuwa na mantiki hawa kazi yao kuaribu tu co kujenga kuweni sana na hao watu wanaojiita UKAWA hawana lolote
 
Sasa huoni kuwa Magu anajaribu kurekebisha uozo uliopikwa na wajombazenu?
 
toeni na suluhisho nini kifanyike.....

If you were in his shoes,what would you do?

Badala ya kunyoosheana vidole, toeni solutions.......

Magufuli ni one of us,he is like us, not a machine

I
 
Harafu tuwaulize waliohitim vyuo, walipe mikopo yao ili watoto wa masikin wanaotegemea maisha ya MKOPO wapate pesa.
walipe mikopo toka kwenye ajira gani mzee? hao viongozi wote unaowaona majukwaani walisomeshwa na nyerere bure, tena walikuwa washamba bush party kuliko hata watoto wa vijijini wa siku hizi wanaojua hata kutumia simu ya nokia. lakini kwasababu wameshapata, wameshasahau walikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…